El patronဉဈ(@7_goody) 's Twitter Profileg
El patronဉဈ

@7_goody

...
Kilolo Pips Family💪.

ID:1153271179748229121

calendar_today22-07-2019 11:50:50

10,8K Tweets

1,0K Followers

1,0K Following

WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Namna pekee ya kutoboa 2024

1. Sitaki
2. ⁠Sina
3. ⁠Sitoweza
4. ⁠Sipo
5. ⁠Haiwezekani
6. ⁠Haipo
7. ⁠Imeisha

account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

06/04/2024

CHEKA PLUS imezinduliwa leo na ndio inakuwa Television ya kwanza Afrika ya comedy.

Vijana wadogo wenye uthubutu kutoka CHEKA TU wamepambana sana kufikiria tofauti.

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio nabii ila hili swala la Mondi kutoa Clip anacheza Mziki huku kavaa Kanzu Lazima Masheikh watoe neno hapa😂😂🤝

Mimi sio nabii ila hili swala la Mondi kutoa Clip anacheza Mziki huku kavaa Kanzu Lazima Masheikh watoe neno hapa😂😂🤝
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

CHEKA TU wamezindua rasmi Television yao inayojulikana kama CHEKA PLUS TV.

Kwasasa inapatikana Chaneli namba 414 Azam TV.

Walevi ya ile bar hawana baya.

account_circle
Trojan Horse🎭(@anon_codex) 's Twitter Profile Photo

Wewe kama kijana unayejitafuta mshaharaka wako au biashara zako kwa mwezi haufiki 2M achana na hizi gari

1. Crown
2. Bmw
3. subaru
4. Mercedes
5. Brevis

Chaguo sahihi
✅IST
✅ALLION
✅VITZ
✅AXIO
✅SPACIO
✅PREMIO
✅ALLEX
✅RUMION
✅RACTIS

account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Sijawai kuwepo studio ila naamini Mondi anamwambiaga S2kizzy kuwa 'Oya Zombie hakikisha mixing ya hiyo ngoma yangu anafanya eyooo Laizer'😂😂

Yani baada ya kutengeneza beat na kupanga sauti unaambiwa haya mpelekee unaesema wewe ni bora kumzidi 😂😂

Sijawai kuwepo studio ila naamini Mondi anamwambiaga S2kizzy kuwa 'Oya Zombie hakikisha mixing ya hiyo ngoma yangu anafanya eyooo Laizer'😂😂 Yani baada ya kutengeneza beat na kupanga sauti unaambiwa haya mpelekee unaesema wewe ni bora kumzidi 😂😂
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Zombie anataja record alizotengeneza kupitia A-list artist ila anawachukulia poa waliowatengeneza hao wasanii?

Nimelia sana Asubuhi ya leo😭😭😭

'Usione vya helea ujuwe vimeundwa'😭😭😭

account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa naangalia makala ya zaidi ya makampuni 30 ambayo amewekeza Bakhresa aisee noma,
1.Kuna viwanda vya chakula, unga, vinywaji.
2. Kuna ving'amuzi, azam pesa, sarafu
3. Azam marine
4. Azam media, Azam Fc
5. Viwanda vifungashio
6. Fumba, hotel Verde .

Sijaona mabasi 🥲

account_circle