Agnes Mmbone
@Agnesmbone1
ID:1129345585264365568
17-05-2019 11:19:04
6,0K Tweets
970 Followers
174 Following
Tunaanza Bustani la Massawe salama Jumatatu ingawa kuna kibaridi Nairobi sijui sehemu zingine, karibu sana ndani twende sawa hadi saa nane mchana. Unajiunga nasi ukiwa upande gani?
#JamboMassawe
Massawe Japanni
Ednah Ombaso
Nambari ya simu, 0204445975
Nambari ya arafa, 22494
Habari ya wikendi mpendwa?Karibu tuabiri meli ya #MixedFlavors pamoja.Swali la biblia:Ayubu alimuuliza Mungu kumficha wapi mpaka pale ambapo ghadhabu yake itakapo pita?
SMS LINE 21967 Twitter Biblia Husema 96.7fm Mindfully Dee