Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profileg
Ali Kamwe

@AliKamwe

@Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License C

ID:1214053558984667136

calendar_today06-01-2020 05:19:17

672 Tweets

358,5K Followers

99 Following

Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨Ndani ya siku 1 baada ya Viingilio vya Kariakoo Derby Vitangazwe .. TIKETI 115 za π•πˆπ 𝐀 zimeshanunuliwa

🏟️

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Nimemuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns

Sisi na Wao Bado Hatujamalizana..

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Yanga Vs Malelodi Sundowns.. Mechi Kubwa zaidi Barani Afrika kwenye Hatua ya Robo Fainali.

DaimaMbele Nyuma MwikoπŸ”°βœŠ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Ndio Nimejua Leo .. Tukimla mtu 5 kumbe Makolo wanaona Wivu kweli .. Yaani Wanaumia mno πŸ˜€

Kweli Viko vya kushea sio …………..πŸ˜€πŸ™Œ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Timu tunazoweza kukutana nazo Robo Fainali ya CAF CHAMPIONS LEAGUE

1: Mamelodi Sundowns
2: Asec Mimosas
3: Petro de Luanda

Mechi ya kwanza ya Nyumbani itachezwa kati ya Machi 29-31.

Young Africans SC Tuko Tayari πŸ”°βœŠ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Samahani Nilizima tukiwa Hatua ya Makundi kama Makolo, nimezinduka naona Young Africans SC tuko Robo Fainali na wakubwa wenzetu kina Mamelodi Nini kimetokea kwani?

Samahani Nilizima tukiwa Hatua ya Makundi kama Makolo, nimezinduka naona @YoungAfricansSC tuko Robo Fainali na wakubwa wenzetu kina Mamelodi Nini kimetokea kwani?
account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Baada ya majadiliano ya muda mrefu na Rais Eng Hersi Said, Leo mdhamini na Mfadhili wa Young Africans SC GHALIB SAID MOHAMMED β€˜GSM’ AMEKUBALI KUJENGA UWANJA WA KISASA WA YANGA, Makao Makuu ya Klabu, Jangwani 🏟️

Wananchi Leo Sokoine wimbo ni mmoja Tu .. GSM GSM GSM 🀩

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Young Africans SC Umetoa Zawadi kwa Wanachama wote watakaojiandikisha kwenye Mfumo wa Kidigitali, Leo hapa Bukoba, Watapata Fursa ya kwenda kuangalia Mazoezi ya mwisho ya Timu yatakayofanyika kuanzia saa 11:30 jioni Kaitaba Stadium.

Usajili Unaendelea Ukumbi wa Linus

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Enjoy kwa kuwa wa kwanza kusoma/kutazama Habari zote za Klabu yako ya Young Africans SC kupitia YANGA APP iliyofanyiwa marekebisho makubwa.

Epuka Habari za kuokota mitandaoni, Habari sahihi zote ziko kwenye YANGA APP kwa 2000 Tu.

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Wachezaji wawili wa kimataifa wa Timu yetu ya Young Africans SC Wameanza kwenye Timu zao za Taifa katika michuano ya AFCON..

Tuendelee Kujisajili Wananchi wenzangu.. Kila mmoja ahakikishe amelipia kadi yake.. Tuendapo ni pazuri mnoπŸ”°

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Yanga 5-1 Simba [Wanaume]
Yanga 4-0 Simba [Vijana]

Leo: Yanga Vs Simba [ Wanawake]

Tukutane Azam Complex Wananchi saa 10:00 Jioni .. Watasema Leo βœŠπŸ”°

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Enhee .. Huyu Karamoko wa Kizimkazi ni pendekezo la Bongozozo au Ndio Twende tu Atamuona huko huko mazoezini?πŸ˜‚

Wachambuzi mko kimya .. Hatujawazoea hivi

account_circle