Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profileg
Hamisi Taletale

@BabuTale

Member of Parliament Morogoro Kusini Mashariki Constituency
@diamondplatnumz Manager
WCB WASAFI
Founder of TIPTOP Connection
#GodfatherTale

ID:192486367

calendar_today19-09-2010 08:40:12

3,4K Tweets

53,4K Followers

369 Following

Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yangu Madee nimeona umechange mpk Bio yako pale IG... toka kua mwanamziki mpaka Baba & businessman.. nnachoamini mimi unaweza kua vyote hivo na bado ukabaki kua mwanamziki..
so natamani kuona unabakia kwenye kazi iliotulea.. iliotupa kila kitu bila kumkwaza Mungu

account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Kheri ndio zawadi kubwa isiyopungua uzito wala ujazo katika kipimo cha maisha ya Mwanadamu.
Ramadhani Kareem

account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Hivi karibuni tuta sain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi.

account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Tutaendelea kumsogeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wetu kipenzi karibu yenu kila wakati.
Kanga hizi hazitovesha miili yenu pekee, Bali na mioyo yenu iliyojaa shukran na upendo.
JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU.

account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

If a rose smells better than tomatoes, it doesn't mean the rose can make a better stew. Don't try to compare yourself to others

account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti kati ya mzazi mfadhili na mzazi mlezi, Mzazi mfadhali anatoa matumizi tu ila mzazi mlezi hukaa karibu na wanae na hujua kila hatua zao. Tujitahidi kuwa Wazazi walezi ili watoto wetu waweze kuja kutulea uzeeni, nasi tuone matunda yao.

Kuna tofauti kati ya mzazi mfadhili na mzazi mlezi, Mzazi mfadhali anatoa matumizi tu ila mzazi mlezi hukaa karibu na wanae na hujua kila hatua zao. Tujitahidi kuwa Wazazi walezi ili watoto wetu waweze kuja kutulea uzeeni, nasi tuone matunda yao. #godfathertale
account_circle
Hamisi Taletale(@BabuTale) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Ukubwa wa maarifa yako kwenye ujenzi wa Chama na Serikali inatosha kuona namna Mungu alivyotupa Kiongozi atakayetufikisha kwenye mafanikio kwa fahari kubwa.
Asante Mama.

Ndugu Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ukubwa wa maarifa yako kwenye ujenzi wa Chama na Serikali inatosha kuona namna Mungu alivyotupa Kiongozi atakayetufikisha kwenye mafanikio kwa fahari kubwa. Asante Mama.
account_circle