Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profileg
Meshack

@BangalaOG

Fighter🤲
Manchester United🔴

ID:2971032251

calendar_today10-01-2015 07:42:08

759 Tweets

2,3K Followers

2,1K Following

Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profile Photo

*1 Wafalme 2:3*

uyashike mausia ya Bwana, Mungu wako, uende katika njia zake, uzishike sheria zake, na amri zake, na hukumu zake, na shuhuda zake, sawasawa na ilivyoandikwa katika torati ya Musa, upate kufanikiwa katika kila ufanyalo, na kila utazamako;

account_circle
Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profile Photo

Ewe Dada/Kaka Katika Kuchagua Yupi Anastahili Awe Mume/Mke Omba Sana Umpate Mwenye Hofu Ya Mungu🙏✍️

account_circle
Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Harusi Yangu Kutakuwa na Break⛷️
Watu Mnaenda Kwanza Majumbani Kwenu Mnakula Mnarudi Tunaendelea Na Harusi👫

account_circle
Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profile Photo

@Calliembwambo Eng. Mbwambo Nina haja nawe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana, kaa nami

account_circle
Meshack(@BangalaOG) 's Twitter Profile Photo

Nakuaminisha Uamini Hii Kweli Yenye Ukweli Ndani Yake

Kama Dhambi Zingetoa Harufu Mbaya Nani Angejivisha Ujasiri Wa Siri Kwa Kusimama Na Mwenziye...

🙏

Nakuaminisha Uamini Hii Kweli Yenye Ukweli Ndani Yake Kama Dhambi Zingetoa Harufu Mbaya Nani Angejivisha Ujasiri Wa Siri Kwa Kusimama Na Mwenziye... 🙏
account_circle