Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)(@BasataTanzania) 's Twitter Profileg
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)

@BasataTanzania

Ukurasa rasmi wa Baraza la Sanaa la Taifa-BASATA|Official Page of The National Arts Council of Tanzania. Email us: [email protected] RTS not endorsements

ID:2845045090

linkhttp://www.basata.go.tz calendar_today26-10-2014 11:07:10

2,9K Tweets

9,5K Followers

73 Following

Follow People
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)(@BasataTanzania) 's Twitter Profile Photo

Exclusive TMA2022 kufanyika Dodoma Tarehe 06 Aprili, 2023 Mgeni rasmi Mhe. Balozi Dkt. Pindi iboko wilfrid.chana Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, endelea kufuatilia Kwa taarifa zaidi @wizara_sanaatz @tanzaniamusicawards_

#Mabadiliko_ya_ratiba Exclusive #NomineesAnnouncement TMA2022 kufanyika Dodoma Tarehe 06 Aprili, 2023 Mgeni rasmi Mhe. Balozi Dkt. @pindi.chana Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, endelea kufuatilia Kwa taarifa zaidi @wizara_sanaatz @tanzaniamusicawards_
account_circle
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)(@BasataTanzania) 's Twitter Profile Photo

DJ's wakongwe Asanterabi Mtaki a.k.a DJ Rabbie Rolls Royce na Saleh Besta DJ Besta Jr. wakiwa katika picha ya pamoja ofisi za BASATA ambapo wameweza 'kuteta' na Katibu Mtendaji Dkt Kedmom Mapana (katikati) juu ya furaha yao kwa mara ya kwanza TMA 2022 zina Kipengele cha DJ.

03 Machi, 2023
Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Dkt. Albert Makoye (kushoto) Leo tarehe 03 Machi, 2023 ametembelea ofisi ya Katibu Mtendaji BASATA Dkt Kedmom Mapana kisha kufanya majadiliano juu ya Maendeleo endelevu ya Sekta ya Sanaa nchini.

03 Machi, 2023 Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Dkt. Albert Makoye (kushoto) Leo tarehe 03 Machi, 2023 ametembelea ofisi ya Katibu Mtendaji BASATA Dkt Kedmom Mapana kisha kufanya majadiliano juu ya Maendeleo endelevu ya Sekta ya Sanaa nchini.
account_circle
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)(@BasataTanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mtendaji BASATA Dkt Kedmon Mapana (katikati) leo tarehe 20 Februari, 2023 akiwa na wasanii George Mndemu G. Nako (Kushoto) na Joseph Bulabu Wakusoma mara baada ya kutembelea ofisini kwa Katibu Mtendaji kufanya uchambuzi na maboresho ya kina wa wimbo wao.