🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profileg
🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’

@CharlieBihemo

|| Ξ—Ξ£ΞŸΞ₯Ξ£ ||Social Media Manager || Mchumi || Ngosha || Manager Leo ||

ID:3206850970

linkhttps://twitter.com/CharlieBihemo/status/1445637391755010051?t=Q0E7EJTiq6-VsAw5vFb1yg&s=19 calendar_today25-04-2015 17:06:54

332,5K Tweets

78,1K Followers

956 Following

🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

Naomba nikusisitizie sisi Ndio tupo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Na mali zako ziko salama mikono Salama Kabsa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

account_circle
Zee La Nyeti(@OriginoZee17) 's Twitter Profile Photo

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye
account_circle
πŒπ€π‘π‹π„π˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

MAONESHO YA KILIMO KUANZA RASMI KESHO DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya 'from…

MAONESHO YA KILIMO KUANZA RASMI KESHO DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya 'from…
account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau kwenye sekta ya kilimo kuanzia kesho Aprili 30, 2024 wataonesha shughuli mbalimbali za kiteknolojia zinazotumika katika sekta husika kwenye kuendeleza kilimo nchini

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya 'from Lab to Farm 2024' yanalenga…

account_circle
🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau kwenye sekta ya kilimo kuanzisha kesho Aprili 30, 2024 wataonesha shughuli mbalimbali za kiteknolojia zinazotumika katika sekta husika kwenye kuendeleza kilimo nchini

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya 'from Lab to Farm 2024' yanalenga…

account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye…

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye…
account_circle
Chen Mingjian ι™ˆζ˜Žε₯(@ChenMingjian_CN) 's Twitter Profile Photo

Down Memory Lane of πŸ‡¨πŸ‡³-πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Relationship:
πŸ‡¨πŸ‡³ is the biggest country for investment in πŸ‡ΉπŸ‡Ώ for many years, while creating over 150000 jobs & training lots of industrial talents for πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Our solid partnership plus πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€™s good investment policies will attract more πŸ‡¨πŸ‡³ investors to…

Down Memory Lane of πŸ‡¨πŸ‡³-πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Relationship: πŸ‡¨πŸ‡³ is the biggest country for investment in πŸ‡ΉπŸ‡Ώ for many years, while creating over 150000 jobs & training lots of industrial talents for πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Our solid partnership plus πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€™s good investment policies will attract more πŸ‡¨πŸ‡³ investors to…
account_circle
🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye…

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye…
account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Ili uweze kujenga nyumba kali inafaaa uanze kwa kupata ramani kali na sehemu pekee utakayoipata ni
ARCHONLY STUDIO

Usimize kichwa hawa ndio wataalam wa hizi kazi wacheki wape mahitaji yako ujenge nyumba ya ndoto yako.

Wacheki wa.me/255656885366

Ili uweze kujenga nyumba kali inafaaa uanze kwa kupata ramani kali na sehemu pekee utakayoipata ni @ArchonlyStudio Usimize kichwa hawa ndio wataalam wa hizi kazi wacheki wape mahitaji yako ujenge nyumba ya ndoto yako. Wacheki wa.me/255656885366
account_circle
Agnes Prudence(@agnes_prudence) 's Twitter Profile Photo

Umewahi kujaribu kitoweo hiki πŸ˜‹
Hii ni nyama ya Bata
Tamu mnoooπŸ˜‹πŸ”₯
Madume ni 30,000/= tu
Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa
Tunapatikana Kiluvya
Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri
Call/WhatsApp: 0623 374 863

Umewahi kujaribu kitoweo hiki πŸ˜‹ Hii ni nyama ya Bata Tamu mnoooπŸ˜‹πŸ”₯ Madume ni 30,000/= tu Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa Tunapatikana Kiluvya Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri Call/WhatsApp: 0623 374 863
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA, MISRI YAENDELEZA MAKUBALIANO SEKTA YA AFYA

Serikali ya Tanzania na Misri ziliingia mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Afya na Shirika la ALAMEDA Healthcare Group Oktoba, 2022 ili kushirikiana katika nyanja ya Afya hasa upande wa huduma za kimatibabu kwa…

TANZANIA, MISRI YAENDELEZA MAKUBALIANO SEKTA YA AFYA Serikali ya Tanzania na Misri ziliingia mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Afya na Shirika la ALAMEDA Healthcare Group Oktoba, 2022 ili kushirikiana katika nyanja ya Afya hasa upande wa huduma za kimatibabu kwa…
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

MASOKO KUFANYIKA KIDIGITALI CHINI YA WIZARA YA KILIMO

Mfumo huu unaosaidia kutoa taarifa za usajili wa masoko, ghala na vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo unawezesha kufahamu takwimu sahihi za kiasi cha mazao yanayoingia na kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

MASOKO KUFANYIKA KIDIGITALI CHINI YA WIZARA YA KILIMO Mfumo huu unaosaidia kutoa taarifa za usajili wa masoko, ghala na vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo unawezesha kufahamu takwimu sahihi za kiasi cha mazao yanayoingia na kutoka sehemu moja kwenda nyingine. #BajetiKilimo
account_circle