Clouds Media
@CloudsMediaLive
A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
ID:3305347245
https://www.cloudsmedia.co/ 01-06-2015 07:17:34
78,5K Tweets
1,6M Followers
44 Following
Follow People
“Toka mwaka 2022 mwezi wa kumi tuli-stop kupanda kwa bando, mtu aje hapa aniambie kuna bando limeongezeka” - Nape Moses Nnauye #SentroCloudsTV
'Tutarusha satellite yetu na itafanya vitu vingi sana, pamoja na mambo mengine ya utafiti lakini itakuwa mbadala kwamba ikitokea tatizo tunatumia satellite na kwa mujibu wa sayansi ipo kasi nzuri na kwa ubora kwenye cable kuliko satellite' - Nape Moses Nnauye #SentroCloudsTV
'Hakuna mahali ambapo tumemkatalia Starlink, kufanya kazi nchini kwetu. Utaratibu ni rahisi sana, unaomba leseni kwenye mtandao na Mtandao unakuondoa page moja kwenda nyingine kadri unavyojaza. Wao waliomba ikafika mahali walikwama' - Nape Moses Nnauye
#SentroCloudsTV
'Na hivi tunavyoongea baada ya internet kukatika mpaka leo Saa 10 Alfajiri tulikuwa tumesharejesha 78% ya huduma ya internet katika nchi tumebakisha 22%, mpaka kufikia leo mchana tutakuwa tumekamilisha karibia 90% na kitu kama sio mia moja' - Nape Moses Nnauye
#PBCloudsFM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa kana tarehe 14 Mei, 2024.
#CloudsdigitalUpdates
Uhitaji wa mafuta yanayotokana na maganda ya korosho ni mkubwa sana ila kwa Tanzania hatuna maganda ya kutosha' Miriam Ainah - Mkurugenzi Wa Kampuni inayozalisha mafuta kutokana na Taka za Korosho ya Golden Leaf Energy.
US Embassy Tanzania #TanzaniaMarekani #PBCloudsFM
'Sisi tunayakamua maganda ya Korosho tunapata mafuta, yale mafuta. Tunasafirisha kuyapeleka nchi mbalimbali ikiwemo Marekani wenyewe wanayatumia kutengeneza rangi, vilainishi' Miriam Ainah - Mkurugenzi Golden Leaf Energy.
US Embassy Tanzania
#TanzaniaMarekani