Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profileg
Dr. Stergomena Lawrence Tax

@DrTaxs

Minister for Defence & National Service

ID:3322762636

linkhttps://www.modans.go.tz calendar_today13-06-2015 09:36:04

3,6K Tweets

26,8K Followers

285 Following

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Stergomena Lawrence Tax, April 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Oparesheni za Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, Bwana, Jean Pierre Lacroix, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar-es-salaaam.

account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Grateful to engage with the UN Under Secretary General for Peace Operations, HE Jean Pierre Lacroix. Renewed our commitment to cooperate in promoting and sustaining peace ⁦United Nations⁩ ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦Jean-Pierre Lacroix

Grateful to engage with the UN Under Secretary General for Peace Operations, HE Jean Pierre Lacroix. Renewed our commitment to cooperate in promoting and sustaining peace ⁦@UN⁩ ⁦@gcumod⁩ ⁦@Lacroix_UN⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa viongozi na wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ulinzi & timu ya soka ya Ulinzi kwa ushindi mnono leo 17/4/2024 ktk michuano ya Mei Mosi Taifa huko Arusha. Tunajivunia na kuthamini juhudi zenu. Ni matumaini yetu mtarudi na ubingwa ⁦⁦⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Pongezi kwa viongozi na wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ulinzi & timu ya soka ya Ulinzi kwa ushindi mnono leo 17/4/2024 ktk michuano ya Mei Mosi Taifa huko Arusha. Tunajivunia na kuthamini juhudi zenu. Ni matumaini yetu mtarudi na ubingwa ⁦⁦⁦@gcumod⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana Mashujaa FC kwa ushindi wa kibabe dhidi ya Simba SC. Hakika mmeonyesha kuwa ninyi ni mashujaa na wengine wanahitaji kujifunza kutoka kwenu, Awii….. ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦MASHUJAA FC⁩ ⁦⁦Jeshi la Wananchi wa Tanzania

Hongereni sana Mashujaa FC kwa ushindi wa kibabe dhidi ya Simba SC. Hakika mmeonyesha kuwa ninyi ni mashujaa na wengine wanahitaji kujifunza kutoka kwenu, Awii….. ⁦@gcumod⁩ ⁦@MASHUJAA_FC⁩ ⁦⁦@jwtztaarifa⁩
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Ktk mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe Zsolt Meszaros tumepitia ushirikiano wetu katika Sekta ya Ulinzi (Tanzania na Ubeligiji, na Tz na Umoja wa Ulaya). Pia nimeeleza kuhusu mchango EAC & SADC ktk kuimarisha amani na usalama Kikanda ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦⁩

Ktk mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe Zsolt Meszaros tumepitia ushirikiano wetu katika Sekta ya Ulinzi (Tanzania na Ubeligiji, na Tz na Umoja wa Ulaya). Pia nimeeleza kuhusu mchango EAC & SADC ktk kuimarisha amani na usalama Kikanda ⁦@gcumod⁩ ⁦⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Leo 28/3/24 katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary, Mhe Peter Sziijarto tumekubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali yanayohusu amani & usalama kimataifa, na ktk sekta za ulinzi kati ya Tanzania na Hungary ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦MFA Tanzania

Leo 28/3/24 katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary, Mhe Peter Sziijarto tumekubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali yanayohusu amani & usalama kimataifa, na ktk sekta za ulinzi kati ya Tanzania na Hungary ⁦@gcumod⁩ ⁦@mfa_tanzania⁩
account_circle