Kaka wa Taifa (@EdMmuni )

Kaka wa Taifa

Bio Ask me How You can Communicate Right๐Ÿ”ธBrand Architect ๐Ÿ”ธ Marketing Strategist ๐Ÿ”ธ Illustrator ๐Ÿ”ธ Bro ๐Ÿ”ธ ENFJ ๐Ÿ”ธ Id ๐Ÿ’› to work with you ๐Ÿ”ธ 714942121 @5Dportfolio
Location Tanzania
Tweets 24,8K
Followers 5,2K
Following 1,2K
Account created 23-09-2014 12:49:22
ID 2827977678

Twitter Web App : Samsung Note 9 mpya ya bei poa inahitajika. Kama unayo au unamfahamu anayeuza plz mtag au tugusane DM.

Android : Usiamini kila wazo linalotoka kwenye ubongo wako kwani ubongo una tabia ya kufikiria vitu vingi, hata ambavyo kiuhalisia haviwezekani....and sadly, nafsi yako ndio kitu pekee ndani yako unachoweza kukidanganya nacho kikadanganyika.

#BusaraVSMaarifa

Twitter Web App : Umewahi kuangalia movie inaitwa Little Shop of Horrors? twitter.com/JacquilineHenrโ€ฆ

Twitter Web App : Generosity lies less in giving much than in giving at the right moment.

Twitter Web App : Unapojenga green house unaweza kuvuna maji ya mvua kutoka kwenye paa la green house na maji hayo ukayatumia kwenye umwagiliaji! Faida kubwa ya maji ya mvua ni kwamba yanakuwa salama zaidi na ukishayavuna upatikanaji wake ni wa muda wote #shambadili
Cc: greenagriculture

Twitter Web App : #Tanzania is rapidly urbanizing, and it is important for this expansion to be compatible with environmental targets to limit pollution, promote sustainable living conditions, and create systems that are resilient to climate change: wrld.bg/G6S350AiXUC โ˜˜๏ธ