Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profileg
Marsha

@FlagMarsha

TheFixerQueen|| Diplomat ||Social Worker|| Activist|| UNICEF Machampion|| PO&Team Leader||Social Media Operator||SOSDiplomats2022||YLF2023

ID:803649708266766336

calendar_today29-11-2016 17:19:56

121,7K Tweets

2,0K Followers

719 Following

Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

SOKA : Nimerudi nilitekwa na Polisi, lakini kuna vijana wenzetu kwenye chama wakasema nimejiteka sababu wanakula kwa Majaliwa


YT bit.ly/4aHA7x6
X bit.ly/3Q773XA

account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Bunge linatakiwa kubeba ajenda za wananchi ikiwa ni paomja na usimamizi wa Rasilimali za Umma, bunge linahitajika kuwakilisha wananchi bila kujali itikadi za Chama binafsi kwa wananchi. .

Bunge linatakiwa kubeba ajenda za wananchi ikiwa ni paomja na usimamizi wa Rasilimali za Umma, bunge linahitajika kuwakilisha wananchi bila kujali itikadi za Chama binafsi kwa wananchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi.
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Uwajibishaji unatakiwa kuwa kwa watu wote, hakuna mtumishi wa umma aliye juu ya sheria au asiye na utaratibu wa Mahakama. Kila Mtumishi wa Umma akiwemo Rais lazima awajibike kwa sheria na afuate sheria.

Uwajibishaji unatakiwa kuwa kwa watu wote, hakuna mtumishi wa umma aliye juu ya sheria au asiye na utaratibu wa Mahakama. Kila Mtumishi wa Umma akiwemo Rais lazima awajibike kwa sheria na afuate sheria. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Ili kuboresha na kuleta usawa chaguzi Tanganyika na Zanzibar, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itashauriana mara kwa mara na Tume ya Uchaguzi ya Tanganyika na Tume ya Uchaguzi ya Uchaguzi ya Zanzibar.

Ili kuboresha na kuleta usawa chaguzi Tanganyika na Zanzibar, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itashauriana mara kwa mara na Tume ya Uchaguzi ya Tanganyika na Tume ya Uchaguzi ya Uchaguzi ya Zanzibar. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Mgawanyiko wa madaraka husaidia kuweka misingi ya utawala unaowajibika kwa taasisi za umma, ambapo maamuzi ya umma yenye uwajibikaji na madhubuti hufanywa na watumishi wa umma walio huru na kazi. .

Mgawanyiko wa madaraka husaidia kuweka misingi ya utawala unaowajibika kwa taasisi za umma, ambapo maamuzi ya umma yenye uwajibikaji na madhubuti hufanywa na watumishi wa umma walio huru na kazi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi.
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

lazima ipunguze Madaraka ya Rais ili kuongeza ufanisi na uhuru wa serikali, maadili ya kidemokrasia na utawala bora ili kuweka mazingira bora ya kisiasa yanayozingatia misingi ya demokrasia ya kikatiba.

#KatibaMpya lazima ipunguze Madaraka ya Rais ili kuongeza ufanisi na uhuru wa serikali, maadili ya kidemokrasia na utawala bora ili kuweka mazingira bora ya kisiasa yanayozingatia misingi ya demokrasia ya kikatiba. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Kila mara Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimetaja ukiukwaji mkubwa wa matumizi ya serikali kama kutokujali Wananchi na serikali. Lazima tuwe na katiba inayoweka misingi ya maadili na uwajibikaji katika utumishi wa umma

Kila mara Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimetaja ukiukwaji mkubwa wa matumizi ya serikali kama kutokujali Wananchi na serikali. Lazima tuwe na katiba inayoweka misingi ya maadili na uwajibikaji katika utumishi wa umma #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ina mihimili mitatu ya serikali lakini kiuhalisia Katiba imeip aUtendaji mamlaka makubwa na ya upande mmoja kuingilia mihimili mingine ya serikali hivyo kudhibiti/kudhoofisha nguvu na rasilimali za nchi.

Tanzania ina mihimili mitatu ya serikali lakini kiuhalisia Katiba imeip aUtendaji mamlaka makubwa na ya upande mmoja kuingilia mihimili mingine ya serikali hivyo kudhibiti/kudhoofisha nguvu na rasilimali za nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Bunge ni chombo cha wananchi, Bunge linatakiwa kuwakilisha maslahi ya taifa kwa kwa ujumla, Wananchi wataka itakayowapa uwezo wa kuwajibisha wabunge wao katika Masuala ya Kitaifa.

Bunge ni chombo cha wananchi, Bunge linatakiwa kuwakilisha maslahi ya taifa kwa kwa ujumla, Wananchi wataka #KatibaMpya itakayowapa uwezo wa kuwajibisha wabunge wao katika Masuala ya Kitaifa. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Mataifa yaliyoendelea yana uchumi imara kwa sababu yana mabunge imara na mihimili ya mahakama isiyoingiliwa na inayohakikisha utendaji kazi katika utawala wa kidemokrasia unazingatiwa.

Mataifa yaliyoendelea yana uchumi imara kwa sababu yana mabunge imara na mihimili ya mahakama isiyoingiliwa na inayohakikisha utendaji kazi katika utawala wa kidemokrasia unazingatiwa. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Katika kuzingatia makundi maalumu, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo kwa uwakilishi wa watu wenye ulemavu katika jamii.

Katika kuzingatia makundi maalumu, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo kwa uwakilishi wa watu wenye ulemavu katika jamii. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Ili wananchi wapate viongozi wanaowataka, ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo na uchaguzi ulio huru na haki kwa muda wote wanaoshiriki. Kwa kutumia mifumo yenye uwazi

Ili wananchi wapate viongozi wanaowataka, #KatibaMpya ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo na uchaguzi ulio huru na haki kwa muda wote wanaoshiriki. Kwa kutumia mifumo yenye uwazi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Tume ya uchaguzi inatakiwa kuwa na mamlaka yake kamili, iseme kwa msisistizo kuwa Tume ya Uchaguzi haitalazimika kufuata amri, maagizo au maoni ya mtu yoyote, mamlaka yoyote ya serikali, chama cha siasa, taasisi au asasi yoyote.

Tume ya uchaguzi inatakiwa kuwa na mamlaka yake kamili, #KatibaMpya iseme kwa msisistizo kuwa Tume ya Uchaguzi haitalazimika kufuata amri, maagizo au maoni ya mtu yoyote, mamlaka yoyote ya serikali, chama cha siasa, taasisi au asasi yoyote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa na Mgawanyo wa madaraka katika katiba tutahakikisha ulinzi wa mali na huduma za umma na kusaidia nchi kupiga hatua katika ajenda yake ya maendeleo.

Tukiwa na Mgawanyo wa madaraka katika katiba tutahakikisha ulinzi wa mali na huduma za umma na kusaidia nchi kupiga hatua katika ajenda yake ya maendeleo. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Katika kuzingatia makundi maalumu, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo kwa uwakilishi wa watu wenye ulemavu katika jamii.

Katika kuzingatia makundi maalumu, Katiba ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwepo kwa uwakilishi wa watu wenye ulemavu katika jamii. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha uhuru wa wananchi katika kutumia haki ya uchaguzi na kuchaguliwa viongozi wao , kupita , vyama vya siasa au mgombea huru.

Kupitia #KatibaMpya Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kuhakikisha uhuru wa wananchi katika kutumia haki ya uchaguzi na kuchaguliwa viongozi wao , kupita , vyama vya siasa au mgombea huru. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kutoa elimu kwa mpiga kura wa kushirikiana na wadau mbalimbali wakati wa uchaguzi au kura ya maoni na uratibu wa utoaji wa elimu ya uraia, ili kukuza uelewa wa wapigakura.

#KatibaMpya ibainishe wazi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kutoa elimu kwa mpiga kura wa kushirikiana na wadau mbalimbali wakati wa uchaguzi au kura ya maoni na uratibu wa utoaji wa elimu ya uraia, ili kukuza uelewa wa wapigakura. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Marsha(@FlagMarsha) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Uchaguzi inatakiwa kuwa huru na inatakiwa kuwa na wajibu wa kusimamia na kuendesha upigaji kura bila kuwepo kwa dalili yoyote itakayoashiria uchaguzi kuibiwa..

Tume ya Uchaguzi inatakiwa kuwa huru na inatakiwa kuwa na wajibu wa kusimamia na kuendesha upigaji kura bila kuwepo kwa dalili yoyote itakayoashiria uchaguzi kuibiwa.. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle