George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profileg
George Job

@GeorgeJob14

Sports analyst Wasafi Media

ID:1218784088141783041

calendar_today19-01-2020 06:36:21

10,2K Tweets

198,2K Followers

220 Following

George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Naona mijadala mingi ya kumvunjia heshima Bremer ina endelea, kwasababu hayuko team zenu pendwa ndiomaana mnashindwa kujua thamani yake. Mna mfananisha tu na yeyote anae wajia kichwani. Hao watu wenu wote mliotaja hawako level ya Bremer kwasasa.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Tunapoteza mechi kifala sana..big chances wasted, na maamuzi mabovu ya benchi la ufundi. Tukifanya mchezo tumashuka kwa uzembe wetu.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Kwenye ile barua kuna mahala Edwin Van Der Sar aliwaambia 'Take good care of our Dony and help him dream.' Lakini wapi!

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Nataka ku update playlist yangu ya singeli wadau, niongezeeni 3 tu hapo zifike 10.
1.Meja kunta - Mamu
2.Manfongo - Hainaga ushemeji
3.Mc balaa - Nakuja
4.Kinata Mc - Do lemi go
5.Meja kunta - Madanga
6.Makabila - Pita huku
7.Dogo mfaume - kazi ya dukani

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Sasa tueleweje, katoroka au ana matatizo ya kifamilia? Barua ya klabu ametoroka kaimu kocha mkuu Ngawina ana sema Beno ana matatizo ya kifamilia.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Simba kama Manchester sahiz inahusishwa na kila mchezaji..team kubwa ikiwa kwenye nyakati ngumu inageuka kuwa content.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Old firm derby..what a crazy match 6 goals plus one disallowed goal. A game of two halves. Matondo's equaliser deserves to be the last goal of the match.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Katika kitu ambacho huwezi wagusa mieleka ni uandaaji wa event zao..kwenye maandalizi hiwezi wagusa, kuanzia sound, stage na mpangilio wa mechi zao hapo wamoto sana.

account_circle
George Job(@GeorgeJob14) 's Twitter Profile Photo

Wrestlemania XL live..nisingejuaga kama mieleka ni maigizo ningepoteza usingizi wangu leo kuangalia hii event.

account_circle