George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profileg
George Ambangile

@George_Ambangil

GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.

ID:4110587662

calendar_today04-11-2015 07:55:56

92,3K Tweets

720,0K Followers

664 Following

George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Kweli nimeamini watu wa United wengi hawamtaki ETH na wapinzani wanataka abaki mamiyake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Ninazo za NDAAAAANI kuhusu Erik Ten Hag niwape ? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sasa hivi nina sosi yangu hiyo hatari.

Sio ile ya Ray Asel ana followers 400

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Naambiwa hiki ndio Guardiola alifanya kwa Busquets nothing else πŸ€”πŸ€”haya ngoja niendelee na Sports Arena

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Nishamaliza kumuangalia Joshua Zirkzee na Jhoni Lucumi : Straika na Kitasa . Na wamenifurahisha πŸ˜€

Bologna katoa dozi ya 3-1 kwa Roma

Nishamaliza kumuangalia Joshua Zirkzee na Jhoni Lucumi : Straika na Kitasa . Na wamenifurahisha πŸ˜€ Bologna katoa dozi ya 3-1 kwa Roma
account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

✍🏻Barca walikuwa wanataka sana kunyumbulisha block ya Real , playing through them or go wide kwa Lamine

✍🏻Real always wanaangalia spaces behind Barca midfield na defense ( hasa fullback Positions )

✍🏻Amount ya Duels both team lost is too much aisee .! Plus ball watching

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Hawa Leverkusen mamiyake , wamegoma kufungwa kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ,halafu magoli yao mengi wamefunga dakika za jioni sana

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

I said this . This is on Chelsea players na sio kocha hata kidogo . Poch amefanya kila kitu, beat City press, play through them , exploited spaces in behind them . Wachezaji wake bad decision 100%

Personality na Desire ya wachezaji wa City una admire, they found a way to win

account_circle