Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profileg
Rastafarian culture

@Ireneigora

Take it Easy I didn't mean to hurt you 🧎🤥

ID:1549241276305915906

calendar_today19-07-2022 03:54:57

148,4K Tweets

81,2K Followers

4,2K Following

Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo inaendelea kutekeleza vipaumbele vya mwaka 2023/2024 na kuongeza baadhi ya vipaumbele vinavyomnufaisha mkulima moja kwa moja katika Mwaka wa Bajeti 2024/2025. Kati ya vipaumbele hivyo ni pamoja na....👇
.

Wizara ya Kilimo inaendelea kutekeleza vipaumbele vya mwaka 2023/2024 na kuongeza baadhi ya vipaumbele vinavyomnufaisha mkulima moja kwa moja katika Mwaka wa Bajeti 2024/2025. Kati ya vipaumbele hivyo ni pamoja na....👇 #BajetiYaWakulima.
account_circle
Gaspinho(@Gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Wizara kupitia tume imekamilisha mapitio ya rasimu ya sera ya maendeleo ya ushirika ya mwaka 2002 kwa kujumuisha maoni mbalimbali ya wadau na kuhakikisha kuwa rasimu ya sera inaakisi mwelekeo wa sasa wa ushirika ~ Waziri wa Kilimo Mh Hussein M Bashe

Wizara kupitia tume imekamilisha mapitio ya rasimu ya sera ya maendeleo ya ushirika ya mwaka 2002 kwa kujumuisha maoni mbalimbali ya wadau na kuhakikisha kuwa rasimu ya sera inaakisi mwelekeo wa sasa wa ushirika ~ Waziri wa Kilimo Mh @HusseinBashe #BajetiKilimo
account_circle
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu.

Nimetoa hoja ya Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024-2025

Hotuba inapatikana hapa - kilimo.go.tz/resources/view…

#BajetiYaWakulima Salaam Ndugu Zangu. Nimetoa hoja ya Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024-2025 Hotuba inapatikana hapa - kilimo.go.tz/resources/view…
account_circle
Dira Ya Samia(@DiraYaSamia) 's Twitter Profile Photo

Leo katika wa uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Bajeti 2024/25, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein M Bashe alianisha vipengele muhimu vya bajeti hio.

account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

UZALISHAJI WA MAZAO ASILIA YA BIASHARA YAZIDI KUPAA

Imeelezwa kuwa uzalishaji wa mazao asilia katika mwaka 2023/2024 umeongezeka kutoka tani 1,123,477.92 mwaka 2022/2023 hadi tani 1,260,321.1 sawa na asilimia 78.05 ya lengo la kuzalisha tani 1,614,758.

Hayo yamesemwa na Mhe.

UZALISHAJI WA MAZAO ASILIA YA BIASHARA YAZIDI KUPAA Imeelezwa kuwa uzalishaji wa mazao asilia katika mwaka 2023/2024 umeongezeka kutoka tani 1,123,477.92 mwaka 2022/2023 hadi tani 1,260,321.1 sawa na asilimia 78.05 ya lengo la kuzalisha tani 1,614,758. Hayo yamesemwa na Mhe.
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Mwaka wa Bajeti 2024/2025.
Kati ya vipaumbele hivyo sita ni pamoja na Kuimarisha upatikanaji wa masoko ndani na nje ya nchi, ili kutekeleza lengo la kulilisha Taifa na kulisha Dunia kibiashara. Hussein M Bashe

l
l

Mwaka wa Bajeti 2024/2025. Kati ya vipaumbele hivyo sita ni pamoja na Kuimarisha upatikanaji wa masoko ndani na nje ya nchi, ili kutekeleza lengo la kulilisha Taifa na kulisha Dunia kibiashara. @HusseinBashe #BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia #BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa vipaumbele vya mpango wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kusomesha Watafiti ili kuongeza ufanisi kwenye kazi zao

Miongoni mwa vipaumbele vya mpango wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kusomesha Watafiti ili kuongeza ufanisi kwenye kazi zao #BajetiYaWakulima #Ajenda1030 #LishaTaifaLishaDunia
account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Leo ndiyo leo.

Kutakuwa na Space ya Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya kilimo 2024/2025

Leo tarehe 02/05/2024
Muda ni Saa 07:00 (Saa Moja Jioni) usikose.

l
l

Leo ndiyo leo. Kutakuwa na Space ya Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya kilimo 2024/2025 Leo tarehe 02/05/2024 Muda ni Saa 07:00 (Saa Moja Jioni) usikose. #BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia #BajetiYaWakulima l #Ajenda1030

MRADI WA BBT UMETENGENEZA AJIRA 475,025

'Wizara ilipanga kutengeneza ajira 428,571 kwa mwaka 2023/2024 kupitia mipango na mikakati mbalimbali ikiwemo Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT). Ili kufikia malengo hayo, Wizara imeendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho

MRADI WA BBT UMETENGENEZA AJIRA 475,025 'Wizara ilipanga kutengeneza ajira 428,571 kwa mwaka 2023/2024 kupitia mipango na mikakati mbalimbali ikiwemo Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT). Ili kufikia malengo hayo, Wizara imeendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho
account_circle
Cappuccino✨(@_GiftApril_) 's Twitter Profile Photo

“Wizara ya Kilimo tumeamua badala ya kununua magari ya sisi viongozi tutaweka fedha kwa ajili ya kununua magari kwa mafisa kilimo” – Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB) Hussein M Bashe

account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Moja ya vipaumbele Sita (6) vya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025 ni;

Uwekezaji kwenye huduma za ugani
Kwa kununua pikipiki 600 na vipima afya ya udongo 43 na kuvisambaza
kwa Maafisa Ugani. Kuendelea kujenga nyumba 50 za Maafisa Ugani.

account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

MRADI WA BBT UMETENGENEZA AJIRA 475,025

'Wizara ilipanga kutengeneza ajira 428,571 kwa mwaka 2023/2024 kupitia mipango na mikakati mbalimbali ikiwemo Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT). Ili kufikia malengo hayo, Wizara imeendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho

MRADI WA BBT UMETENGENEZA AJIRA 475,025 'Wizara ilipanga kutengeneza ajira 428,571 kwa mwaka 2023/2024 kupitia mipango na mikakati mbalimbali ikiwemo Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT). Ili kufikia malengo hayo, Wizara imeendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

KILIMO KIMETOA AJIRA ASILIMIA 65.6

'Sekta ya kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, vilevile imetoa ajira asilimia 65.6 imechangia asilimia 65…

KILIMO KIMETOA AJIRA ASILIMIA 65.6 'Sekta ya kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, vilevile imetoa ajira asilimia 65.6 imechangia asilimia 65…
account_circle