Nature/Wildlife/People.(@IssaRanger) 's Twitter Profileg
Nature/Wildlife/People.

@IssaRanger

Worldwide adventures & MEMES.
Lets share our similarities and celebrate our differences.
Urafiki wa pesa siutaki.

ID:893747569674919937

calendar_today05-08-2017 08:16:40

92,5K Tweets

32,4K Followers

17,1K Following

winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya utafiti iliyozinduliwa na HakiElimu inatoa rai kwa serikali
-Kupitia upya Sera ya Maendeleo ya Mtoto
-Kuboresa Sheria ya Mtoto
-Kupitia upya sera ya Chakula na Lishe
-Kuandaa miongozo ya kitaifa ya usalama wa chakula na lishe kwa watoto wachanga

Ripoti ya utafiti iliyozinduliwa na @HakiElimu inatoa rai kwa serikali -Kupitia upya Sera ya Maendeleo ya Mtoto -Kuboresa Sheria ya Mtoto -Kupitia upya sera ya Chakula na Lishe -Kuandaa miongozo ya kitaifa ya usalama wa chakula na lishe kwa watoto wachanga #UstawiWaWatoto
account_circle
NYANI MZEE(@jwise017) 's Twitter Profile Photo

Unaambiwa “Ogopa MUNGU na teknolojia”

Unafiki unafanya watoto waende chooni na maisha yaende vile unavyotaka.

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh

Ametukuka Allah ta'ala

swala na salaam zimfikie mtume wetu kipenzi na familia yake.

Enyi watu nakuhusieni bila kuisahau nafsi yangu juu ya kumtii Allah katika amri zake na kujiepusha na makatazo yake.

Uhakika na Allah anajua zaidi ni…

account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Wasichana waliokatiza masomo kwasababu ya ujauzito hukutana na changamoto nyingi ikiwemo kunyanyapaliwa.Hongereni HakiElimu kwa kufanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana hawa.Kwa jamii ielimishwe iache kuwanyanyapaa nao wana haki ya kupata elimu bora.

Wasichana waliokatiza masomo kwasababu ya ujauzito hukutana na changamoto nyingi ikiwemo kunyanyapaliwa.Hongereni @HakiElimu kwa kufanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana hawa.Kwa #UstawiWaWatoto jamii ielimishwe iache kuwanyanyapaa nao wana haki ya kupata elimu bora.
account_circle