Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profileg
Jamii Forums

@JamiiForums

The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism

ID:49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

63,7K Tweets

1,7M Followers

325 Following

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki

Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Dunia ni maalum kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu Mazingira, Uhifadhi wa Asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili Sayari yetu leo

Siku hii inatoa fursa kwa Watu binafsi, Mashirika, na Serikali zote kuungana kwa lengo la kulinda Mazingira kwa

Siku ya Dunia ni maalum kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu Mazingira, Uhifadhi wa Asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili Sayari yetu leo Siku hii inatoa fursa kwa Watu binafsi, Mashirika, na Serikali zote kuungana kwa lengo la kulinda Mazingira kwa
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mapitio ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali za Mitaa ( ) kwa mwaka 2022/23 ulibaini Mamlaka 11 za Serikali zilifanya manunuzi ya Vifaa vya Ujenzi vya takriban Tsh. Milioni 869.43 bila kufuata mwongozo wa Rasilimali za Ndani (Force Account) ambavyo vilikuwa nje ya

Mapitio ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali za Mitaa (#CAG) kwa mwaka 2022/23 ulibaini Mamlaka 11 za Serikali zilifanya manunuzi ya Vifaa vya Ujenzi vya takriban Tsh. Milioni 869.43 bila kufuata mwongozo wa Rasilimali za Ndani (Force Account) ambavyo vilikuwa nje ya
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

ECUADOR: Raia wa Ecuador wamepiga kura ya maoni kwenye Hatua kadhaa za Kiusalama zinazopendekezwa na Rais wao kama njia ya kukabiliana na Magenge ya Uhalifu yaliyosababisha wimbi kubwa la machafuko

Maswali mengi waliyoulizwa wapigakura yanalenga kuimarisha hatua za Usalama

ECUADOR: Raia wa Ecuador wamepiga kura ya maoni kwenye Hatua kadhaa za Kiusalama zinazopendekezwa na Rais wao kama njia ya kukabiliana na Magenge ya Uhalifu yaliyosababisha wimbi kubwa la machafuko Maswali mengi waliyoulizwa wapigakura yanalenga kuimarisha hatua za Usalama
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya ya na ya haujafanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye Vyumba vya Uwanjani wakidai sio zao

Awali, RS Berkane walidai jezi zao

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya #USMAlger ya #Algeria na #RSBerkane ya #Morocco haujafanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye Vyumba vya Uwanjani wakidai sio zao Awali, RS Berkane walidai jezi zao
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

FA CUP: Licha ya kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa sare ya magoli 3-3

Baada ya kuongeza dakika 30 katika Nusu Fainali

FA CUP: Licha ya #ManchesterUnited kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya #CoventryCity inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa sare ya magoli 3-3 Baada ya kuongeza dakika 30 katika Nusu Fainali
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

PWANI: Mdau anadai ubovu wa Miundombinu ya Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja unaathiri Watumiaji na mahitaji mengi muhimu yameshindwa kufika kwenye makazi ya Watu kwa kuwa kutoka Barabara Kuu ya lami kuingia Mtaani ni changamoto, Magari yanayotoa Huduma hayawezi kupita

Anaomba

PWANI: Mdau anadai ubovu wa Miundombinu ya Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja unaathiri Watumiaji na mahitaji mengi muhimu yameshindwa kufika kwenye makazi ya Watu kwa kuwa kutoka Barabara Kuu ya lami kuingia Mtaani ni changamoto, Magari yanayotoa Huduma hayawezi kupita Anaomba
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Jamhuri Jazz Band ilianzishwa Mwaka 1954 na Vijana kutoka na ilifahamika kama Yanga Nyamwezi Band

Baada ya Uhuru ilibadilishwa jina na kutambulika kwa jina la Jamhuri Jazz Band. Pia, baadhi ya wahusika walijitoa na kuanzisha Bendi maarufu ya Simba Wanyika Band Miaka ya

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MIUNDOMBINU: Baadhi ya Wadau wa JamiiForums.com wamedai ubovu wa Barabara ya - unahatarisha Usalama wa watumiaji kutokana na kutawaliwa na mashimo mengi licha ya kuwa ni Lami

Wakichangia hoja ya Mdau aliyoiandika katika Jukwaa la Habari na Hoja

account_circle
Jamii Check(@JamiiCheck) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kufahamu iwapo ni kweli Mwanaume akibana pumzi wakati wa kujamiiana itamsaidia kuchelewa kufika mshindo

ilizungumza na Mtaalam wa , Dkt. Godfrey Chale Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ambaye alieleza kuwa unapokuwa

Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kufahamu iwapo ni kweli Mwanaume akibana pumzi wakati wa kujamiiana itamsaidia kuchelewa kufika mshindo #JamiiCheck ilizungumza na Mtaalam wa #Afya, Dkt. Godfrey Chale Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ambaye alieleza kuwa unapokuwa
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

KENYA: Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani, ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na , badala ya kuifungia Nchini humo

Waziri wa Habari na

KENYA: Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani, ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na #TikTok, badala ya kuifungia Nchini humo Waziri wa Habari na
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuifunga Simba magoli 2-1, jana Aprili 20, 2024 katika inamaanisha kwa ujumla Msimu wa 2023/24, imekubali kichapo cha magoli 7-2 kutoka kwa Wapinzani wao wa Jadi kwa kuwa matokeo ya mechi ya kwanza yalikuwa magoli 5-1

Baada ya #Yanga kuifunga Simba magoli 2-1, jana Aprili 20, 2024 katika #LigiKuuBara inamaanisha kwa ujumla Msimu wa 2023/24, #Simba imekubali kichapo cha magoli 7-2 kutoka kwa Wapinzani wao wa Jadi kwa kuwa matokeo ya mechi ya kwanza yalikuwa magoli 5-1 #JamiiForums #JFWatani
account_circle
Jamii Check(@JamiiCheck) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha Uchaguzi hugubikwa na mambo mengi ya Kuzusha

Huwa zinasambaa, Picha, Video na Matukio mbalimbali ambayo huacha Watu pasipo majibu ya Ukweli wake

Je, ni Picha, Video au tukio gani unadhani lilikuwa la Uzushi katika chaguzi zilizopita?

Kipindi cha Uchaguzi hugubikwa na mambo mengi ya Kuzusha Huwa zinasambaa, Picha, Video na Matukio mbalimbali ambayo huacha Watu pasipo majibu ya Ukweli wake Je, ni Picha, Video au tukio gani unadhani lilikuwa la Uzushi katika chaguzi zilizopita? #JamiiiCheck #HakikiTaarifa
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Msimu wa 2023/24 ni mchungu kwa Wanasimba, hiyo ni baada ya kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Yanga, ikimaanisha imefungwa mechi zote mbili dhidi ya Wapinzani wao wa Jadi katika Ligi Kuu Msimu huu

Magoli ya Stephane Aziz Ki (20) kwa penati 20 na Joseph Guede (38)

#MICHEZO: Msimu wa 2023/24 ni mchungu kwa Wanasimba, hiyo ni baada ya #Simba kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Yanga, ikimaanisha imefungwa mechi zote mbili dhidi ya Wapinzani wao wa Jadi katika Ligi Kuu Msimu huu Magoli ya Stephane Aziz Ki (20) kwa penati 20 na Joseph Guede (38)
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MAPUMZIKO: YANGA 2-0 SIMBA, ZITAFIKA NGAPI?

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika, inaongoza magoli 2-0 dhidi ya Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkapa

Walioitungua mpaka sasa ni Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika

MAPUMZIKO: YANGA 2-0 SIMBA, ZITAFIKA NGAPI? Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika, #Yanga inaongoza magoli 2-0 dhidi ya Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkapa Walioitungua #Simba mpaka sasa ni Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika
account_circle