Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profileg
Mbundi John

@JohnMbundi

A fact of life we all die.But the positive impact you have on others 'll be a living legacy..!

#ElimikaWikiendi #MUFC #SimbaSC

ID:1572855192

calendar_today06-07-2013 14:08:45

212,2K Tweets

6,0K Followers

1,5K Following

Baba G(@GjAssenga) 's Twitter Profile Photo

Passo🔥
Cc 990
Year 2005
Full Ac💦

Tsh: 3,800,000/=

WHATSAPP || CALL +255655777249

Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿

Passo🔥 Cc 990 Year 2005 Full Ac💦 Tsh: 3,800,000/= WHATSAPP || CALL +255655777249 Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿 #AssengaMagariTz
account_circle
Baba G(@GjAssenga) 's Twitter Profile Photo

Toyota vista🔥
Engine 3S
Cc 1990
FullAc💦

Rimsports
Body✅
Engine✅
Gearboc✅

Tshs: 4,900,000/=

WHATSAPP || CALL +255655777249

Dar es salaam, Tanzania🇹🇿

Toyota vista🔥 Engine 3S Cc 1990 FullAc💦 Rimsports Body✅ Engine✅ Gearboc✅ Tshs: 4,900,000/= WHATSAPP || CALL +255655777249 Dar es salaam, Tanzania🇹🇿 #AssengaMagariTz
account_circle
Charity Flora✨(@CharityFlora1) 's Twitter Profile Photo

Kuna Watu Mpaka Leo Wanaamini Fistula Ni Ugonjwa Unaotokana Na Imani Za Kishirikana Kitu Ambacho Sio Kweli,

Sasa Kesho Caryn Khan Atajuimuika Nasi Kutupa Elimu Ya Fistula Ya Uzazi Na Umuhimu Wake Kwa Jamii Usikose Jamvini Kwenye Kesho.

Kuna Watu Mpaka Leo Wanaamini Fistula Ni Ugonjwa Unaotokana Na Imani Za Kishirikana Kitu Ambacho Sio Kweli, Sasa Kesho @CarynKhan7 Atajuimuika Nasi Kutupa Elimu Ya Fistula Ya Uzazi Na Umuhimu Wake Kwa Jamii Usikose Jamvini Kwenye #ElimikaWikiendi Kesho.
account_circle
C L E M E N T 🦁🏷️(@venant_clement) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA_TANZANIA wamekuja na ubunifu Wa kuwa na Vipindi vya YouTube Vinavyoangazia mambo mbalimbali kuhusu Mawasiliano. Leo Tarehe 12 Aprili
🕕: SAA 12:00 Jioni
📺: YouTube, Facebook & Instagram @tcra_tanzania

Bofya link youtube.com/live/wlPgdZ4nJ

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania @TCRA_Tz wamekuja na ubunifu Wa kuwa na Vipindi vya YouTube Vinavyoangazia mambo mbalimbali kuhusu Mawasiliano. Leo Tarehe 12 Aprili 🕕: SAA 12:00 Jioni 📺: YouTube, Facebook & Instagram @tcra_tanzania Bofya link youtube.com/live/wlPgdZ4nJ
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Bei ya kondoo ipo mkiani!

Huu ni wasaa wa makuzi ya Kiswahili ambapo waswahili hujimwaya na Nahau, Misemo, Methali

Usipange kukosa .

Bei ya kondoo ipo mkiani! Huu ni wasaa wa makuzi ya Kiswahili ambapo waswahili hujimwaya na Nahau, Misemo, Methali Usipange kukosa #ElimikaWikiendi.
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Tunza mazingira yakutunze.

Mtaalam wa afya na mazingira @Regina_magoke atatupitisha kufahamu fursa za mazingira zinazoweza kuwanufaisha vijana

Tunza mazingira yakutunze. Mtaalam wa afya na mazingira @Regina_magoke atatupitisha kufahamu fursa za mazingira zinazoweza kuwanufaisha vijana #ElimikaWikiendi
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ya kijamii ni uwanja mpana wa Fursa na Ajira.

Unaitumiaje kufikia malengo kwenye soko la ajira? Jiunge Afisa Masoko na Mbunifu Aman Martins | Champ kujifunza zaidi

Mitandao ya kijamii ni uwanja mpana wa Fursa na Ajira. Unaitumiaje kufikia malengo kwenye soko la ajira? Jiunge Afisa Masoko na Mbunifu @amanimkagulu kujifunza zaidi #ElimikaWikiendi
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Suala la ujenzi wa nyumba bado ni pasua kichwa kwa wengi.

Jifunze namna ya kuokoa 30% ya gharama za ujenzi kutoka kwa wataalam wa ujenzi WAJENZI BORA CO.LTD katika jukwaa bora la elimu

Suala la ujenzi wa nyumba bado ni pasua kichwa kwa wengi. Jifunze namna ya kuokoa 30% ya gharama za ujenzi kutoka kwa wataalam wa ujenzi @WAJENZIBORA katika jukwaa bora la elimu #ElimikaWikiendi
account_circle
Umoja wa Mataifa(@UmojaWaMataifa) 's Twitter Profile Photo

ni hatua kwa

💧usawa wa kijinsia 💧kupunguza umaskini 💧Haki ya hali ya hewa 💧elimu 💧bioanuwai na zaidi.

Pata mawazo kuhusu jinsi unavyoweza : bit.ly/3ZUH5ZA

#WaterAction ni hatua kwa 💧usawa wa kijinsia 💧kupunguza umaskini 💧Haki ya hali ya hewa 💧elimu 💧bioanuwai na zaidi. Pata mawazo kuhusu jinsi unavyoweza #ActNow: bit.ly/3ZUH5ZA
account_circle
Media for Development and Advocacy.(@MedeaTanzania) 's Twitter Profile Photo

We're honoured to participate in the Hivos East Africa R.O.O.M closeout program happening in Machakos, Kenya from the 10th-13th of this month. This opportunity allows us to showcase our contributions to the program & most importantly, learning from others

Alpha Kimweri & Gertrude rep

We're honoured to participate in the @hivosroea R.O.O.M closeout program happening in Machakos, Kenya from the 10th-13th of this month. This opportunity allows us to showcase our contributions to the program & most importantly, learning from others Alpha Kimweri & Gertrude rep
account_circle