Johnbest Mwahaja
@JohnieZeBest
Procurement & Finance Person | Content Creator | #Upendo♥️ |
Mtoto Wa Mama Johnie | #MrUnknownCode | Captain Ramos ©️
ID:737161227017846784
30-05-2016 05:58:27
169,8K Tweets
49,6K Followers
2,3K Following
Follow People
400,000/= tu
🏮Hp ProBook 640 G1
✅Core i5.....2.6 GHz
✅4 GB RAM
✅320GB HDD
✅14' INCH DISPLAY
✅HDMI PORT
✅USB PORT
✅DVD ROM
✅BLUETOOTH
✅CAMERA
✅SUPER CLEAN
Freebie
✅Free multipurpose Foam Cleaner
0788106694
Used Point
DSM free delivery
Thanks team UNFPA Tanzania and the 2024 is going to be amazing 😍 reaching first the hardest & furthest. PAMOJA TUNAWEZA.
Tukumbushane tarehe ya leo
𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 𝐉𝐔𝐌𝐀 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 Johnbest Mwahaja Seif Chekanae Goga Kumbusho Dawson Kagine @mbu
Btw, me Corporate photographer na bado sijapata clients Toka Twitter but I wish one day nifanye kazi na tweep
Ili awe ni reference Kwa yeyote
Lakini nimefanya kazi
Crdb marathon,
Flavianamatata Foundation, hapa nilikuata na bro Arafat Bakir_Lesheve
Kutana na tweep mbali mbali
Wataalamu wa elimu ya majuu TASSAA STUDY ABROAD
John kalage 🇹🇿 mtalaamu wa unyunyu na manukato.
Nakumbuka hiyo siku nikasema ngoja niamke tu nikafanye coverage free pale TOTBonanza maybe mambo yanaweza kujipa😃 lakini niliwaza kwenda kwenye parade ya Yanga
Ila roho ya bonanza ikashinda basi. Nikadaka Dala la tegeta nyuki- kivukoni, mie huyo bonanzani
NO AURA😂😂
Ulikuwa ni msimu wa low season. Sina jina mjini, sina pa kuanzia, na uchumi ushanichumu aloooh
Tukajiendesha mpaka june mwezi wa tamasha la TOTBonanza.