Ombeni Mbowe(@Mbowe_Ombeni) 's Twitter Profileg
Ombeni Mbowe

@Mbowe_Ombeni

Dad |Friend| Tanzanian| Pharm Tech 💊| Husband | Business Man | GOD FIRST

ID:850996541267607553

calendar_today09-04-2017 08:59:20

948 Tweets

489 Followers

405 Following

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa Nshara-Machame ninakuwa nyumbani. Nina familia.
Wazee wangu, Mzee Clement Kwayu na Mama Kwayu walikuwa nasi leo kanisani KKKT usharika wa Nshara, nyumbani kwa Marehemu Dkt. Semu ( Baba mzazi wa KC Dorothy Semu ) na nyumbani kwa Mzee Kwayu. Nimefurahi kupata nafasi ya…

Nikiwa Nshara-Machame ninakuwa nyumbani. Nina familia. Wazee wangu, Mzee Clement Kwayu na Mama Kwayu walikuwa nasi leo kanisani KKKT usharika wa Nshara, nyumbani kwa Marehemu Dkt. Semu ( Baba mzazi wa KC @SemuDorothy ) na nyumbani kwa Mzee Kwayu. Nimefurahi kupata nafasi ya…
account_circle
Boniface Chengula(@bonichengula) 's Twitter Profile Photo

Kwanini Moto(fire) kwenye Makanisa ya kiroho umepungua?

Miaka ya nyuma ulikua ukiingia makanisa ya kiroho yalikua na uwepo wa Mungu wa ajabu.

Mtu mwenye pepo alikua anaishia mlangoni, Roho mtakatifu alikua anajidhihilisha kwa viwango vya juu.

Unakuta mtu yuko anointed kiasi…

Kwanini Moto(fire) kwenye Makanisa ya kiroho umepungua? Miaka ya nyuma ulikua ukiingia makanisa ya kiroho yalikua na uwepo wa Mungu wa ajabu. Mtu mwenye pepo alikua anaishia mlangoni, Roho mtakatifu alikua anajidhihilisha kwa viwango vya juu. Unakuta mtu yuko anointed kiasi…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa niaba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Watanzania wenzangu, napenda kutoa salamu zangu za dhati, za Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wapenda demokrasia wote kwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa,…

Kwa niaba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Watanzania wenzangu, napenda kutoa salamu zangu za dhati, za Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wapenda demokrasia wote kwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa,…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Asanteni Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi na umoja wenu kuunga mkono mapambano ya kudai maisha bora. Asanteni kwa kupaza sauti bila kuogopa kuyasemea yale ambayo yanaendelea kutudidimiza kama nchi.

Mwitikio wenu wa kipekee ni hatua ya kwanza na ya muhimu katika kubadili…

Asanteni Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi na umoja wenu kuunga mkono mapambano ya kudai maisha bora. Asanteni kwa kupaza sauti bila kuogopa kuyasemea yale ambayo yanaendelea kutudidimiza kama nchi. Mwitikio wenu wa kipekee ni hatua ya kwanza na ya muhimu katika kubadili…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo,…

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo,…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Karibuni. Nawatakia kila la kheri katika utekelezaji wa jambo hili jema kwa kijiji, usharika wenu, kanisa, na jamii kwa ujumla.

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili…

Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili…
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Nchi ambayo watu wanaenda kuzindua mradi na mfasara wa gari 50
Viongozi wasio pungua 50.
Hela za mafuta na per diem zipo, ila kuna mahali Mama anapoteza maisha kisa hana 150k.
Mnalala kabisa na kukuroma 🙌
Aloo

account_circle
EuroFoot(@eurofootcom) 's Twitter Profile Photo

🚨🔴 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 | Bayern Munich are closing on on a £3m + add-ons deal for Nestory Irankunda (17) from Adelaide United, reports Fabrizio Romano! 🇦🇺/🇹🇿

And here is why... ⬇️

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika Misa Maalum ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mjini, Jimbo Katoliki la Mbulu.

Tumetimiza miaka 24 tangu kuondokewa na kiongozi huyu mahiri, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tunajivunia misingi…

Mapema leo katika Misa Maalum ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mjini, Jimbo Katoliki la Mbulu. Tumetimiza miaka 24 tangu kuondokewa na kiongozi huyu mahiri, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tunajivunia misingi…
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Niandike nini kiweze kuakisi hisia zangu za unyenyekevu kwa maelfu ya Ndugu zangu Watanzania na msio Watanzania mlio nitakia kheri ya siku yangu ya kuzaliwa!?

Nawashukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa upendo wenu kwangu. Wajibu nilioubeba kwa niaba ya CHADEMA na Tanzania ni wito…

account_circle