Purity Mdali(@MdaliPurity) 's Twitter Profileg
Purity Mdali

@MdaliPurity

ID:1711311974309449728

calendar_today09-10-2023 09:27:24

3,2K Tweets

43 Followers

80 Following

Tyna Kagasi(@TynaKagasi99014) 's Twitter Profile Photo

Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness Radio 47 Mungu ni Mwema Kila wakati na hata sasa atatenda. A fine morning to thank God for the gift of life and good health l don't take it for granted, this far indeed the Lord has sustained us.it can never be otherwise ๐Ÿ™

account_circle
Ben Kadagi(@BenKadagi) 's Twitter Profile Photo

Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness Radio 47 Good Morning Mama Taifa indeed A very blessed Friday we thank God for the Gift of Life Mungu Amekuwa Mwaminifu sana wiki nzima Amezidi Kutembea pamoja Nasi ni Himizo Friday Tuhimizane kwa pamoja

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

..NYAMAZISHA! HESABU 13:25-30..Chukua mfano wa Kalebu na unyamazishe sauti duni, sauti za kushindwa, usizipatie nafasi zitawale safari yako ya Galilaya. Umetoka mbali Na Mungu amekuahidi mengi, usikubali sauti za watu ambao hawana imani zikupotoshe. Tukutane Galilaya!

#Neno..NYAMAZISHA! HESABU 13:25-30..Chukua mfano wa Kalebu na unyamazishe sauti duni, sauti za kushindwa, usizipatie nafasi zitawale safari yako ya Galilaya. Umetoka mbali Na Mungu amekuahidi mengi, usikubali sauti za watu ambao hawana imani zikupotoshe. Tukutane Galilaya!
account_circle
Nancy Akola(@AkolaNancy) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 Nimetoka mbali Na Mungu ameniahidi mengi, sikubali sauti za watu ambao hawana imani wanipotoshe. Amen Amen ๐Ÿ™๐Ÿ™ Nakubaliana na neno lako Bwana.

account_circle