MIRIAM๐Ÿ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profileg
MIRIAM๐Ÿ’œ

@MiriamMkanaka

MIMI๐Ÿ’œ, A Writer, Inspirational speaker , God first, Isiah 60:22, Legal advisor, Instagram @MiriamMkanaka, I love @Arsenal Founder of @MaabaraYaSheria

ID:2274843670

calendar_today11-01-2014 13:31:28

168,3K Tweets

360,1K Followers

1,2K Following

MIRIAM๐Ÿ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Ripoti Ya CAG (Ukaguzi wa Serikali kuu)

Mahakama za Rufaa za Kodi zina Mashauri ya muda mrefu 967 ambayo yanaipa Serikali hasara ya Shilingi Trillion 10.489 ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™€๏ธ

Ripoti Ya CAG (Ukaguzi wa Serikali kuu) Mahakama za Rufaa za Kodi zina Mashauri ya muda mrefu 967 ambayo yanaipa Serikali hasara ya Shilingi Trillion 10.489 ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™€๏ธ
account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Sijui wengine lakini mie sina shida kupata visa ya ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ. Sijawahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar mkorofi!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Asalaam alaikum kutoka The Big Apple.

Sijui wengine lakini mie sina shida kupata visa ya ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ. Sijawahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar mkorofi! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Asalaam alaikum kutoka The Big Apple.
account_circle
Sunbank Mabati(@MaureenNgasala) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu kizuri Kama kua part ya ndoto ya mtu ๐Ÿฅฐ,huu ni mrejesho wa nyumba ya mteja kutoka humuhumu TL,alichukua bati 2022,kinachomfurahisha ni bado bado inamuonekano uleule ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
โœ๐Ÿฝkaribu tutimize ndoto yako Leo

Hakuna kitu kizuri Kama kua part ya ndoto ya mtu ๐Ÿฅฐ,huu ni mrejesho wa nyumba ya mteja kutoka humuhumu TL,alichukua bati 2022,kinachomfurahisha ni bado bado inamuonekano uleule ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ โœ๐Ÿฝkaribu #Sunbankmabati tutimize ndoto yako Leo #qualitymakesfuture #Sunbankmabati
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Ukisoma CAG report,Tamesa anamlipa Azam Kila siku million Tano kuendesha vivuko viwili kigamboni.

Kwa mwaka Azam kakunja zaidi ya 1.5 b Sasa kajiulize zile boat zinanunuliwa kwa Bei gani.

Kwanini tusimpe Azam aendeshe atupe yeye Kodi na faida???

account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Stats from African Court - 46% of cases against TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Pres Magufuli & his then foreign Minister, Prof Kabudi, blocked citizens access to the court effective 2020.

We๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโ€™re hosting the Court in Arusha. Not too late to redo this isolationism act, January Makamba.

Stats from African Court - 46% of cases against TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Pres Magufuli & his then foreign Minister, Prof Kabudi, blocked citizens access to the court effective 2020. We๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโ€™re hosting the Court in Arusha. Not too late to redo this isolationism act, @JMakamba.
account_circle
MIRIAM๐Ÿ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Let's do this

Name: Miriam(MIMI)
Age: Msimbe
Tribe: Mnyakyusa ๐Ÿ˜€
Religion: Christian
Height: sijui 5โ€™8
Weight: 55kg
Interested in: Mpush #
Body count: 0
Children's: 0
Tattoos: 0
Smoke: No
Drink: Fanta Orange

And you?

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Hawa Shambani consultancy solutions
Ndio Magwiji wa kusimamia Rasilimali Fedha, Utafutaji Masoko, na mifumo bora ya Kusimamia Rasilimali fedha na kupima afya za Taasisi au kampuni yako kwenye maeneo muhimu.
Wanatoa huduma hizi kwa bei nafuu, unaweza kufuata ukurasa wao kupata taarifa zaidi.

account_circle
Boniface Chengula(@bonichengula) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wameniDm kwamba wameokoka lakini wachungaji wanaowachunga wamekua wakiwadidimiza na kuwafanya waone ulokole ni mzigo.

Yesu anasema โ€œ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyoโ€

Tatizo ambalo lipo kwa watu wengi hasa wanawake,โ€ฆ

Watu wengi wameniDm kwamba wameokoka lakini wachungaji wanaowachunga wamekua wakiwadidimiza na kuwafanya waone ulokole ni mzigo. Yesu anasema โ€œ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyoโ€ Tatizo ambalo lipo kwa watu wengi hasa wanawake,โ€ฆ
account_circle
Marc shoes ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ(@Williammarc27) 's Twitter Profile Photo

Clarks shoes ๐Ÿ”ฅโœ…

Pure leather ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ
Price 135,000/=

Karibuni sanaa

Unaweza kutupigia 0620111462โœ…๐Ÿ”ฅ

Clarks shoes ๐Ÿ”ฅโœ… Pure leather ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ Price 135,000/= Karibuni sanaa Unaweza kutupigia 0620111462โœ…๐Ÿ”ฅ
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Mwenye namba 0775548172 anampigia simu mama demere kitunga nakusema anatoka TCRA_TANZANIA TCRA CCC akitaka arudishe pesa ambayo hajapokea Vodacom Tanzania hamna option ya kuongea na huduma kwa wateja . Tunafanyaje โ€ฆ Carol Ndosi

Mwenye namba 0775548172 anampigia simu mama @demeredye nakusema anatoka @TCRA_Tz @CccTcra akitaka arudishe pesa ambayo hajapokea @VodacomTanzania hamna option ya kuongea na huduma kwa wateja . Tunafanyaje โ€ฆ @CarolNdosi
account_circle