Neypaul🤎(@Neypaul01) 's Twitter Profileg
Neypaul🤎

@Neypaul01

Yes i can

ID:1299300757104140288

calendar_today28-08-2020 11:00:43

104,0K Tweets

166,9K Followers

5,7K Following

Follow People
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Subscription zinashtua, una hili wala lile unatumiwa meseji na CRDB kiasi fulani kimekatwa kwenye Account yako😀

account_circle
Kiddoo TZ(@kiddoo_tz) 's Twitter Profile Photo

Small girl BIG GOD ❤️
Asanteni sana kwa pongezi nyingi
Now new family new chapter new everything
The Bantu show on St Bongo monday to friday 16:00 - 18:00 pm

Kaka manager una upiga mwingi Jamaa Mmoja

Small girl BIG GOD ❤️ Asanteni sana kwa pongezi nyingi Now new family new chapter new everything The Bantu show on St Bongo monday to friday 16:00 - 18:00 pm Kaka manager una upiga mwingi @hisnamefreddie
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

GARDNER G HABASH

MSHUMAA ULIOZIMIKA UKIMULIKIA WENGINE

On 20th April 2024, the cruel hand of death took you from us.

Undeniably, those you left with us, celebrate each moment you shared with them in your lifetime.

Naomba nikunukuu kidogo brother👇

GARDNER G HABASH MSHUMAA ULIOZIMIKA UKIMULIKIA WENGINE On 20th April 2024, the cruel hand of death took you from us. Undeniably, those you left with us, celebrate each moment you shared with them in your lifetime. Naomba nikunukuu kidogo brother👇
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Package ya ngozi inakuja na mafuta chupa mbili ya kupaka na sabuni dozen(12pcs).

Package Inasaidia...
👉🏿kuondoa chunusi na fangasi
👉🏿Tiba Kwa ngozi iliyoathirika Kwa matumizi ya cream zenye kemikali au jua
👉🏿 Hutunza ngozi kwa watoto wachanga
👉🏿 Huondoa weusi kwapani na pajani…

Package ya ngozi inakuja na mafuta chupa mbili ya kupaka na sabuni dozen(12pcs). Package Inasaidia... 👉🏿kuondoa chunusi na fangasi 👉🏿Tiba Kwa ngozi iliyoathirika Kwa matumizi ya cream zenye kemikali au jua 👉🏿 Hutunza ngozi kwa watoto wachanga 👉🏿 Huondoa weusi kwapani na pajani…
account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽JUMATANO ya leo niutambue uwepo wa mwanetu katika kiwanda cha KOMEDI bongo, Moja kati ya kipaji kikubwa sana....

Uwezo wake wa kuchekesha bila kutumia lugha ngumu, na bado akabaki katika lengo kuu la UCHEKESHAJI 🙌🏽

Kitu kilichofanya awe anapata fursa za kuwa katika majukwaa…

👉🏽JUMATANO ya leo niutambue uwepo wa mwanetu katika kiwanda cha KOMEDI bongo, Moja kati ya kipaji kikubwa sana.... Uwezo wake wa kuchekesha bila kutumia lugha ngumu, na bado akabaki katika lengo kuu la UCHEKESHAJI 🙌🏽 Kitu kilichofanya awe anapata fursa za kuwa katika majukwaa…
account_circle