Wizara ya Utalii(@OUtalii) 's Twitter Profileg
Wizara ya Utalii

@OUtalii

Ministry of Natural Resources and Tourism in Tanzania is responsible for the Management of Natural Resources,Cultural and Tourism Development

ID:1091685684908298240

linkhttps://www.maliasili.go.tz calendar_today02-02-2019 13:12:04

764 Tweets

18,5K Followers

30 Following

Wizara ya Utalii(@OUtalii) 's Twitter Profile Photo

Serikali imewataka viongozi wa Jumuiya za Hifadhi Wanyamapori (WMAs) kuzingatia matumizi sahihi ya fedha ili kuwanufaisha wananchi wa vijiji wanachama pia kuzingatia mikataba inayoingiwa na WMAs hizo kwa maslahi ya Taifa.

account_circle
Wizara ya Utalii(@OUtalii) 's Twitter Profile Photo

*WAZIRI KAIRUKI ATETA NA WAONGOZA WATALII JIJINI ARUSHA*
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo amefanya kikao na Waongoza Watalii kwa lengo la kusikiliza changamoto zao,maoni na ushauri wa kuiboresha Sekta ya Utalii nchini kilichofanyika jijini Arusha.

*WAZIRI KAIRUKI ATETA NA WAONGOZA WATALII JIJINI ARUSHA* Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo amefanya kikao na Waongoza Watalii kwa lengo la kusikiliza changamoto zao,maoni na ushauri wa kuiboresha Sekta ya Utalii nchini kilichofanyika jijini Arusha.
account_circle
Wizara ya Utalii(@OUtalii) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) wamehudhuria Mkutano wa 15, Kikao cha Kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Aprili 2,2024 jijini Dodoma.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi wamemshukuru Mhe. Rais Samia kwa maono na maelekezo yake katika sekta za maliasili na utalii ambayo yameleta mapinduzi makubwa katika kipindi cha uongozi wake.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kujidhatiti katika utangazaji utalii ili kuongeza idadi ya watalii na mapato yatokanayo na Utalii.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na matumizi ya fedha za mradi wa UVIKO-19 za kuboresha miundombinu ya utalii katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi uliogharimu takribani shilingi milioni 579.1.