Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profileg
Mwaki

@Officialsam28

l Mkulima l Baba l Live your Life... Life is too short l Founder @Kimwakimchele

ID:872705191652585472

linkhttps://www.linkedin.com/in/mwaki-sam-26a27522a?utm_source=share&utm_ calendar_today08-06-2017 06:41:46

102,2K Tweets

10,4K Followers

2,2K Following

Dullah_theKingπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya ngoma niliyoisikiliza sana enzi zile inatoka....Hakuna ninachoelewa ila naiFeel tuu πŸ™ŒπŸ½

'TreySongz & NickMinaj~Touchin Lovin'🎢

account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Hii apa ndio mashine ya pichambao Cold laminator inakusaidia wewe kulaminate picha na kuweza kutengeneza picha🌸

Tsh 300,000/=

Kwa wewe ambae upo mahali unatamani ujifunze na kununua mashine vifaa vyote vipo pia .

πŸ“Sinza kunekucha
☎️ 0786445451

Tunasafirisha mikoa yote.

Hii apa ndio mashine ya pichambao Cold laminator inakusaidia wewe kulaminate picha na kuweza kutengeneza picha🌸 Tsh 300,000/= Kwa wewe ambae upo mahali unatamani ujifunze na kununua mashine vifaa vyote vipo pia . πŸ“Sinza kunekucha ☎️ 0786445451 Tunasafirisha mikoa yote.
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Nilitegemea kurithi ila ndio vile tena . Niende kijijini nimatwae pori na kusafisha hii ni rahisi sema pa kupata pori ndio sijui . Wacha nichange visenti vyangu ili niweze kuungana na kwenye manunuzi . Sally Brown🌷 nianzishe kibubi ukae nacho?

account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni kwamba watoto wa kike ambao baadae may be wangakuja kuwa watu wenye mchango mkubwa kwenye Jamii zetu wanazidi kupotezwa kwasababu ya uwepo wa .
Mwishoni ndio watoto wanazaa watoto wenzao na wengine mpaka hupoteza maisha wakati wa kujifuguaπŸ’”πŸ™Œ

account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Suala la Ndoa za utotoni nani anafaidika ? Sad to say watoto wanalea watoto wenzao and hawajui cha kufanya ibadilishwe

account_circle
Safari Gateway Ltd(@GatewaySafari) 's Twitter Profile Photo

Embarking on safari adventure in the breathtaking Lake Manyara & Tarangire National Park is an experience like no other.

Have you seen our special offer? 2 days and one night only for $ 850 and $ 650 for a child.

Join us for a journey that goes beyond luxury. πŸ“³ 0777232747

account_circle
Gaspinho(@Gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Naomba Repost yako ili post ifike mbali.

Una changamoto yoyote hapo nicheck:-
Call 0752208997
WhatsApp link πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
wa.me/message/PJM4A6…

Naomba Repost yako ili post ifike mbali. Una changamoto yoyote hapo nicheck:- Call 0752208997 WhatsApp link πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½ wa.me/message/PJM4A6…
account_circle
White Dove πŸ•ŠοΈ(@Cyborg______) 's Twitter Profile Photo

Karibuni niwashonee makapu, napokea oda dogo kama Ili elf 3 kubwa lake elf 4 mia tano tu.

Delivery nafanya umbali wa nauli mwisho elf 1 karibuni sana.😊

Karibuni niwashonee makapu, napokea oda dogo kama Ili elf 3 kubwa lake elf 4 mia tano tu. Delivery nafanya umbali wa nauli mwisho elf 1 karibuni sana.😊
account_circle