TOT Academy
@TOTAcademy
Tanzanians On Twitter building capacity to Fellow Tanzanians. Training Organizers | Facilitators | Mentor-ship |
Part of @TOTBonanza
ID:1136037542451720192
04-06-2019 22:30:31
282 Tweets
1,7K Followers
1 Following
'Ni muhimu kujiwekea malengo yako kwenye biashara, na Yapimike' - Redemptus Cza #TOTAcademy #TOTBonanza
Wajasiriamali wamekaa kimakundi wakijadili juu ya namna ya kuboresha biashara zao mtandaoni wakigusia upande wa Walengwa wa biashara na Mitandao husika katika kukuza biashara hizo, #TOTAcademy #TOTBonanza
Leo kila Mjasiriamali ameshiriki kwenye activities zinazoendelea hapa ππNdoto Hub #TOTAcademy #TOTBonanza
' Ni vizuri ukatenga muda wako na kuzungumza na wateja wako, hii itakusaidia zaidi kutambua mahitaji yao, maboresho, katika kukuza biashara yako' - Mr Owino #TOTAcademy #TOTBonanza
Wajasiriliamali wakiendelea kupata masomo juu ya namna bora ya kuboresha biashara zao, πNdoto Hub . #TOTAcademy #TOTBonanza
'Changamoto kubwa wanazo kutana nazo wajasiriamali mtandaoni ni;
- Uaminifu
- Followers vs Customers
- Getting the right Audience
- Creativity
- Retaining Customers ' - Mr Owino
#TOTAcademy #TOTBonanza
'Kuna vitu vidogo vidogo unaweza kufanya kwenye biashara yako vikaongeza thamani ya biashara yako' - kai #TOTAcademy #TOTBonanza
Wajasiriamali leo wameingia tu, Wamepigwa maswali,π π Kila mtu anashiriki leo! #TOTAcademy #TOTBonanza
'Ni muhimu kutambua lengo la biashara yako, kwani maamuzi yote utakayo fanya juu ya Biashara yako yatategemea zaidi lengo hilo, - kai #TOTAcademy #TOTBonanza
' Ni muhimu sana kufahamu tabia ya mteja wako ili uweze kumuhudumia mteja wako vizuri, Kujenga uaminifu kwa mteja kunazingatia zaidi namna unavyo mhudumia mteja' - Bernard Mwakililo #TOTAcademy #TOTBonanza
'Tools kama Slack, Trello, Canva ni nzuri na rahisi kutumia, hivyo zinaweza kukuza biashara yako' - Bernard Mwakililo #TOTAcademy #TOTBonanza
Darasa la Wajasiriamali limeanza hapa Ndoto Hub na anaye tufungulia darasa letu ni Ndg. Bernard Mwakililo, akielezea Juu ya Matumizi ya Teknolojia kwenye kukuza Biashara. #TOTAcademy #TOTBonanza
Baadhi ya Wajasiriamali wakiendelea kupata Ujuzi juu ya namna bora ya kuboresha Biashara zao, Mafunzo haya ni mueleko kwa Shughuli yenyewe ya #TOTBonanza Jumamosi tarehe 28-11-2020. USIKOSE!
Darasa linaendelea TOT Academy , Wajasiriamali wakipokea mafunzo kutoka kwa mbobezi wa masuala ya huduma za mtandao na kidijitali Gillsant v7.5 , Wajasiriamali wamefundishwa njia na mbinu za kutumia ambazo zitawasaidia wanapofanya biashara za mtandaoni #TOTBonanza
Swali kwa wajasiriamali ukiweka post mitandaoni uweke bei ama usiweke bei?-Gillsant v7.5
TOT Academy
#TOTBonanza
Nauliza kwanini mwanawake riba zao ndogo kwenye mikopo kuliko wanaume? Darasa linaendelea na walimu wetu kutoka CRDB Bank PLC #TOTBonanza