Msemaji Mkuu wa Serikali(@TZMsemajiMkuu) 's Twitter Profileg
Msemaji Mkuu wa Serikali

@TZMsemajiMkuu

The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿

ID:765756476031918080

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today17-08-2016 03:45:45

27,1K Tweets

734,5K Followers

10 Following

Ofisi ya Makamu wa Rais(@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha tuzo aliokabidhiwa na Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) wakati wa Mkutano wa 10 wa Shirikisho hilo unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).…

account_circle
Ofisi ya Makamu wa Rais(@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Prof. Patrick Lumumba ambaye ni mmoja wa watoa mada katika Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na watoa mada pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akigana na Waziri wa Fedha na Mipango Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Saada Mkuya pamoja na viongozi wengine wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) mara baada ya kufungua…

DONDOO;

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, akifungua Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria alioambatana nao safarini wakati akielekea Jijini Ankara kwa ajili ya kuanza ziara Rasmi nchini Uturuki tarehe 17 Aprili, 2024.

Msemaji Mkuu wa Serikali(@TZMsemajiMkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio katika wizara yake ndani kipindi cha miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 17, 2024 jijini Dodoma.

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Jana nilipata wasaa wa kupita Mtaa wa Mombasa, Unguja kuwaona majirani zangu wa zamani Bi. Asha Salum na mumewe, Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Rashid Zam Ali. Kushoto ni bintiye Bi. Asha pamoja na mjukuu wao. Bi. Asha nilisoma naye darasa moja shule ya msingi na shule ya…

Maelezo News(@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

*Matukio katika picha.*

Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya dua na maombi ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, itakayofanyika April 22, 2024 katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.

*Matukio katika picha.* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya dua na maombi ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, itakayofanyika April 22, 2024 katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akimpa pole na kumfariji Bi. Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa rafiki wa familia na Jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar.

Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji Bi. Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman aliyekuwa rafiki wa familia na Jirani wa karibu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa wa Mombasa, Zanzibar, kushoto ni Mtoto wa Marehemu Bi. Fatma Mussa Abdulrahman.

Rais Samia Suluhu Hassan akiomba dua pamoja na Wanafamilia wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo mtaa waMombasa, Zanzibar. Rais Samia alifika kutoa pole msibani Kwahani Mchangamwingi Zanzibar tarehe 16 Aprili, 2024.