Uncle Fafi(@Tanganyikan) 's Twitter Profileg
Uncle Fafi

@Tanganyikan

| Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmie

ID:34864619

linkhttp://www.silicondarinsider.com calendar_today24-04-2009 06:11:26

201,0K Tweets

159,7K Followers

34,4K Following

Uncle Fafi(@Tanganyikan) 's Twitter Profile Photo

Wanaotengeneza hizi stori wanajua wanachokifanya, na wanajua wame-trigger replies gani toka kwa wasomaji. Sasa hivi ukienda comments section page za media hata kwa habari ambazo hazihusiani nae imegeuka trend kuleta utani wa “tunamshukuru Mama”.

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

5. Hitilafu kwenye Grid husababishwa na nini?
Matatizo ya Umeme au Mifumo ya Umeme yapo mengi Tu. Mfano Lighting, Corona, Open Circuits , Equipment Failure, Animal Crossing etc, lakin mengi Kati ya hayo kama sio yote yana Protective gears zake zinazopaswa kuwa Installed kwenye…

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

4. Grid Inafanyaje Kazi.
Utendaji Kazi wake ni shared kila Generation Station inaleta Umeme wake na kuufeed kwenye Grid in Parallel way. Means kila mmoja anaileta power yake na inakua additive .then Jumla inakua Transmitted kwenye mikoa mbali mbali. KCL (Kirchoff's Currently Low)

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

3. Vyanzo vya Umeme kwenye Grid.
Vyanzo vya Umeme kwenye Grid ya Taifa inategemea na Nchi husika inatumia vyanzo gani Mfano Kwa Nchi yetu, tuna
1. Umeme wa Maji (HEP- hydroelectric Power)
2. Gas/ Steam
3. Diesel Engine

Sina hakika kama tuna source zingine kama Solar na Wind.

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Kinapeleka Umeme wake Katika hyo Sakiti na kisha huo Umeme Kwa ujumla wake husafirishwa kwenda sehemu mbali mbali (Hapo ndio unaipata Grid ya Taifa)

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana Mkoa husika ukaweza kuzalisha umeme wake wenyewe (Mfano Mtwara) hii ndio unasikia inaitwa mikoa isiyo kwenye Grid.

2. Inaunganishwaje?
Kitaalamu kuna kitu kinaitwa Ring Circuit (Sakiti mzunguko/Duara) hii ni Sakiti Maalumu ambayo kila Kituo cha uzalishaji

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Ntajitahidi kuelezea Kwa Kifupi zaidi.
1. Grid ya Taifa ni nini.
Ni Mfumo wa kusafirisha umeme. Kwenye Umeme Hadi kumfikia Mteja kuna Hatua Tatu lazima ipitie
1. Uzalishwaji (Generation)
2. Usafirishwaji (Transmission)
3. Usambazaji (Distribution)
Kwenye Uzalishwaji

account_circle