Hii clip imenipa sononeko mnoo nimeumia sana wanaume tunapitia mateso mnoo popote ulipo mpambanaji Mungu akulinde, nasikia hii Uganda huko ila na Tanzania pia naambiwa mambo haya yapo na yanafanywa zaid na wachina. Mwekezaji wa hivi anapaswa kufukuzwa