The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profileg
The Chanzo

@TheChanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

ID:1298181821134446594

linkhttp://www.thechanzo.com calendar_today25-08-2020 08:56:33

7,2K Tweets

63,0K Followers

157 Following

The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Habari kubwa Leo Aprili 29, 2024

⚫️TRA yakusanya kodi Shilingi bilioni 12 kutoka kampuni za nje ikiwemo Google

⚫️Serikali kuanza kulipa madeni ya vyombo vya habari ya zaidi ya bilioni 18

⚫️Mbunge ataka adhabu ya kifo iondolewe kwa sababu haitekelezwi

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Aliyepewa Kesi na Askari wa Hifadhi na Kufungwa Miaka 20 Aachiliwa Huru. Ushahidi Ulipikwa, Mahakama Yatoa Onyo

Na Matonyinga Makaro

Aprili 24, 2024, ni tarehe ambayo itabaki kwenye historia katika maisha ya Richard Changei Ng’ombe, mkazi wa Serengeti aliyeachiwa huru baada ya…

Aliyepewa Kesi na Askari wa Hifadhi na Kufungwa Miaka 20 Aachiliwa Huru. Ushahidi Ulipikwa, Mahakama Yatoa Onyo Na Matonyinga Makaro Aprili 24, 2024, ni tarehe ambayo itabaki kwenye historia katika maisha ya Richard Changei Ng’ombe, mkazi wa Serengeti aliyeachiwa huru baada ya…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Sasa ni Wakati wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania Kuwa ya Kijasiri Zaidi

thechanzo.com/2024/04/29/sas…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la 'Ubaguzi'

'Kwa sababu aliyeandika ni Fatma Karume, wakili wangu na mpigania haki huyu, inabidi nifafanue.'

youtu.be/Anpu1A8votA?si… via YouTube

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya Haki za Binadamu: Ukeketaji Bado Upo, Unafanyika Kwa Siri

Na Matonyinga Makaro

Ripoti ya Haki za Binadamu (2023) inaonesha ukeketeji bado upo katika jamii, huku wanajamii hao wakifanya kuwa suala la siri ya jamii nzima

Ripoti hiyo inataja kuwa kwa nchi nzima kwa…

Ripoti ya Haki za Binadamu: Ukeketaji Bado Upo, Unafanyika Kwa Siri Na Matonyinga Makaro Ripoti ya Haki za Binadamu (2023) inaonesha ukeketeji bado upo katika jamii, huku wanajamii hao wakifanya kuwa suala la siri ya jamii nzima Ripoti hiyo inataja kuwa kwa nchi nzima kwa…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Without Organised Citizenry, Strong Institutions, Tanzania’s Democratic Ambitions Will Remain Far-Fetched

By Richard Mabala

I guess we all think we know that democracy is a government of the people, by the people, for the people. And we have all been led to believe that that…

Without Organised Citizenry, Strong Institutions, Tanzania’s Democratic Ambitions Will Remain Far-Fetched By Richard Mabala I guess we all think we know that democracy is a government of the people, by the people, for the people. And we have all been led to believe that that…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Without Organised Citizenry, Strong Institutions, Tanzania’s Democratic Ambitions Will Remain Far-Fetched

By Richard Mabala

thechanzo.com/2024/04/28/wit…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Do I Have Children?

By Diana Kamara

A key text among the reading in a course I took for Human Rights in 2017 had a catchy title, Are Women Human? It’s not an Academic Question.” At first, I thought it was a Socratic irony, only to feel disoriented by the time I finished reading…

Do I Have Children? By Diana Kamara A key text among the reading in a course I took for Human Rights in 2017 had a catchy title, Are Women Human? It’s not an Academic Question.” At first, I thought it was a Socratic irony, only to feel disoriented by the time I finished reading…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Hatua Tisa Muhimu Kutusaidia Wazazi Kuwarithisha Watoto Wetu Tabia Njema

Katika malezi, kuna changamoto nyingi na kuna vitu ambavyo kila mzazi angependa mtoto wake awe navyo. Tabia njema ni moja kati ya vitu hivyo. Tukiulizwa leo, kama tungependa watoto wetu warithi tabia zetu,…

Hatua Tisa Muhimu Kutusaidia Wazazi Kuwarithisha Watoto Wetu Tabia Njema Katika malezi, kuna changamoto nyingi na kuna vitu ambavyo kila mzazi angependa mtoto wake awe navyo. Tabia njema ni moja kati ya vitu hivyo. Tukiulizwa leo, kama tungependa watoto wetu warithi tabia zetu,…
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Zitto Kabwe: Kikwete, Filikunjombe walinishauri nisijiunge CCM

Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa mojawapo ya watu waliomshauri atafute jukwaa lingine na siyo chama tawala alipoondolewa CHADEMA ni Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na rafiki yake…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Offers Training for Somalia's Civil Services and Security Apparatus as Somalia's President Discussed Border Disputes with Neighbors
thechanzo.com/2024/04/27/tan…

account_circle