viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profileg
viola julius

@VwalaViola

history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takes

ID:3048029357

calendar_today20-02-2015 20:58:12

87,8K Tweets

15,4K Followers

1,7K Following

Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Siku imeisha ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ. Ahsanteni sana mabosi zangu kutoka hapa X kwa kuendelea kutuamini lapexproperties ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ jana na leo kazi nyingi zilikuwa za kutoka hapa X. # hustle includes weekend

account_circle
Mpishi ๐ŸคŽโœจ(@msosi_flavour) 's Twitter Profile Photo

Helloooo, Msosi Flavour is up and running! The chef herself is ready to serve you. From mtori, soup, and grillโ€ฆ.. We got you covered with main dishes and fast food (chips ๐Ÿ˜‰).
Location: Andrew's Lounge T-garden, Sinza Lion bus stop.
Karibuni sana

account_circle
๐—™๐—ฎ๐—ฟ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฑ(@farshadsarrafi) 's Twitter Profile Photo

Fitness Cheat Sheet:

1. Less sitting
2. More meat
3. More water
4. More sleep
5. Less alcohol
6. More walking
7. Smaller portions
8. More movement
9. More accountability
10. More home cooking
11. More weight training
12. More veggies and fruits

account_circle
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ(@Makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

iPhones available
11 Pro max
64Gb-1,150,000
256Gb-1,250,000

12 Pro max
128Gb-1,500,000
256Gb-1,600,000

13 Pro max
128Gb-1,900,000
256Gb-2,100,000

14 Pro Max
128Gb-2,600,000
256Gb-2,700,000

0652795468

iPhones available 11 Pro max 64Gb-1,150,000 256Gb-1,250,000 12 Pro max 128Gb-1,500,000 256Gb-1,600,000 13 Pro max 128Gb-1,900,000 256Gb-2,100,000 14 Pro Max 128Gb-2,600,000 256Gb-2,700,000 0652795468
account_circle
Happie๐Ÿ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

โ€Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako. Utakusudia jambo nalo litatendeka, nao mwanga utaangazia njia zako.โ€œ

account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Kwa siku nne kuanzia kesho, kwenye Chuo cha Uongozi cha Nyerere Kibaha, tutakuwa na Kikao-Kazi cha Mabalozi wetu kutathmini utendaji kazi wetu, kupitia mikakati mipya tuliyobuni, kuwekeana vipimo ya utendaji (KPIs), na kujipanga upya kuipaisha diplomasia ya Tanzania.

Kwa siku nne kuanzia kesho, kwenye Chuo cha Uongozi cha Nyerere Kibaha, tutakuwa na Kikao-Kazi cha Mabalozi wetu kutathmini utendaji kazi wetu, kupitia mikakati mipya tuliyobuni, kuwekeana vipimo ya utendaji (KPIs), na kujipanga upya kuipaisha diplomasia ya Tanzania.
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Learning to be content with what GOD blesses me with ๐Ÿ™๐Ÿพ

If and when it is for me..It will not pass me by..GOD will find a way to reel me in.

Whatever that is notโ€ฆwill pass me by.

If you pray..pray on the grace to Focus on your purpose & journey as it unfolds.

account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Invest in 'women who run boutiques and beauty salons, who operate restaurants and sell vegetables at the market' I couldn't agree more Melinda French Gates
gatesfoundation.org/ideas/articlesโ€ฆ via Gates Foundation

account_circle
L.K Bradshaw(@lizanalizzie) 's Twitter Profile Photo

I'm so,very Grateful --MUNGU ananipigania sana, kiasi huwa hata wingu litande vipi huwa nasema nitacheza kwenye mvua na halitoacha kuja jua.

๐Ÿ™๐Ÿพโ™ฅ๏ธ

account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndg Dorothy Semu; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg Isihaka Mchinjita

Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg Kiza Mayeye. ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg shangwe Ayo.



Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndg @SemuDorothy; na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndg @MchinjitaIR Wa kwanza kulia ni Waziri Kivuli wa Fedha, Ndg @kizamayeye_ ; na kwanza kushoto ni naibu wake, Ndg @ayo_shangwe. #CAG #KaziInaendelea #KufujaFedhaZaUmma
account_circle
Charity Floraโœจ(@CharityFlora1) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio sekta ya Elimu

Serikali imeweza kuwapatia jumla ya vijana 22,547 (Wanaume 11,485 na Wanawake 11,062) mafunzo ya Amali, Elimu ya Ufundi, Kazi za Mikono, ujasiriamali na Sanaa.

@JokateM katibu mkuu UVCCM

Mafanikio sekta ya Elimu Serikali imeweza kuwapatia jumla ya vijana 22,547 (Wanaume 11,485 na Wanawake 11,062) mafunzo ya Amali, Elimu ya Ufundi, Kazi za Mikono, ujasiriamali na Sanaa. @JokateM katibu mkuu UVCCM #UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

'Napenda kuendelea kusisitiza umoja, upendo, ushirikiano katika kuijenga jumuiya yetu ya Vijana UVCCM'- Katibu mkuu UVCCM @JokateM

'Napenda kuendelea kusisitiza umoja, upendo, ushirikiano katika kuijenga jumuiya yetu ya Vijana UVCCM'- Katibu mkuu UVCCM @JokateM #UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
account_circle
Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

Chini ya uongozi wangu sitegemei mambo ya uchonganishi na kurudishana nyuma; tukiona vijana wenzetu wana uwezo na wanawania nafasi mbalimbali za uongozi tuwaunge mkono badala ya kuwawekea vikwazo. ~ Jokate Mwegelo

Chini ya uongozi wangu sitegemei mambo ya uchonganishi na kurudishana nyuma; tukiona vijana wenzetu wana uwezo na wanawania nafasi mbalimbali za uongozi tuwaunge mkono badala ya kuwawekea vikwazo. ~ @jokateM #JUM #UmojaWaVijanaNguvuYaTaifa
account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kuwajua watu waliomaliza muda wao katika maisha yako, pata shida. Ukitaka kusajili watu wapya wenye msaada katika maisha yako, pata shida. Shida huwasogeza mbali wale uliodhani unao, na hukuletea wapya wa kuwatumainia ambao hukuwategemea.

account_circle