@_zolendronic
■Half Genious ■Half Dumb
ID:2226244048
calendar_today15-12-2013 00:57:49
46,6K Tweets
8,7K Followers
901 Following
2 days ago
'Burned' from signing new 'prayers'Kwani Kinzumbi ni prayer?
Kindly #Repost 🔥Samba Originally😋Size: 37-45Price: 80,000/= fullboxDelivery Yes I DoDM 0626560477 or Dm Mondinho7
Helabet leo Odds MlimaDeposit Mitandao yote✅✅Depost kwanzia 100Malipo ni Fasta sanaOptions nyingi Kama hauna Account Jisajiri hapa👇🏽👇🏽Helabet: t.ly/aOUqKPromo Code andika: VINA88 Uki deposit tu Bonus kwanzia Tsh 15000 hadi Tsh 250000
Hawa ndo wale washkaji wanaandikaga 'Birthday loading'
Zamani wakati nasoma tweets za Fumbo Khan nilijuaga ni kichaa imechukua Time sana kugundua kuwa account yake ni Office Saizi simuoni kama kichaa tena najua anakuwa kwenye job ya Dollars.😂😂
Zile nguo za wadudu haziwezi kuwa vazi la Taifa?
Wakulima Wenzangu leo ndio siku ya bajeti yetu. #BajetiKilimo
Unaambiwa askofu Moses Kulola alikuwaga ameziombea nywele zake, hazikui. Zilikaa size hii bila kunyolewa kwa miaka 17
ᴺᵉᵉᵐᵃ, ᴺᵉᵉᵐᵃ ʸᵃ ᴹᵘⁿᵍᵘ ᴮᵃᵇᵃ, ⁿᵃ ᵁˢʰⁱʳⁱᵏᵃ ʷᵃ ᴿᵒʰᵒ ᴹᵗᵃᵏᵃᵗⁱᶠᵘ, ᵘᵏᵃᵉ ⁿᵃˢⁱ ˢⁱᵏᵘ ᶻᵒᵗᵉ, ᴰᵃⁱᵐᵃ ⁿᵃ ᴹⁱˡᵉˡᵉ, ᴬᵐᵉⁿ 🙏
Unachagua frame Gani? .BEI: 120,000/=.Nipigie ☎️ 0743931620
Arsenal wote kwanzia leo tunaungana na Tottenham washinde mechi zao zote zilizobaki
Kijana usiache kutafuta Pesa maana Dunia ya Leo Pesa ndio itakayokupa heshima🤞🏿
Hivi kila mkoa una sehemu inaitwa Majengo?
Naombeni kazi jamani.. Nateseka mwenzenu. Manyanyaso kila kona😂😂
Kwahiyo Mei mosi ni sikukuu ya wafanyakazi ambao ni walimu pekee kada zingine haiwahusu?
Mungu atusaidie tutoke na turejee makwetu tukiwa salama na ushindi.🙏
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda Good morning chosen people
Tembea ujionee Dunia imebeba mengi.
3 days ago
Live Bet Boooom🔥🔥🔥🔥Kama hauna account ya Helabet jisajiri hapa👇Helabet: t.ly/aOUqKPromo Code andika: VINA88 Uki deposit tu Bonus 200%
Unadhihaki maandamano ila leo umeshinda juani kusubiri ongezeko la mshahara upunguze ugumu wa maisha.Ngoma droo sio? Tuwe tunasikilizana.