Azam FC
@azamfc
โฝ The Official Account of Azam Football Club
๐ 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
๐
Founded in July 23, 2004.
๐ฑ #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora
ID:159797294
https://www.azamfc.co.tz 26-06-2010 10:45:44
11,6K Tweets
292,5K Followers
18 Following
Follow People
#FirstTrainingInZanzibar Mazoezi yetu ya kwanza visiwani Zanzibar, tukijiandaa na mechi yetu ya nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya KMKM, itakayofanyika Uwanja wa New Amaan Complex keshokutwa Alhamisi saa 2.15 usiku.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
๐ ZANZIBAR FINEST! ๐น๐ฟ
Feisal Salum๐น๐ฟ katika kilele cha ubora wake! ๐ฅ
#weareazamfc #timuborabidhaabora
Off to Zanzibar for Muungano Cup 2024! ๐ฅ๏ธ๐๏ธ
#weareazamfc #timuborabidhaabora
Next Stop; Muungano Cup 2024! ๐
Sasa tunaelekea kwenye michuano ya Kombe la Muungano, tukianzia hatua ya nusu fainali kwa kuivaa KMKM ya Zanzibar, Aprili 25, mwaka huu saa 2.15 usiku.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
Zanzibar Finest ๐น๐ฟ Feisal Salum๐น๐ฟ, ametuweka kifua mbele kipindi cha kwanza! ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
#weareazamfc #timuborabidhaabora
#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumapili saa 1.00 usiku.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
๐จ M A T C H D A Y ๐จ
๐ Ihefu SC
๐ NBC Premier League
ยฎ๏ธ Round 23
๐ Azam Complex
๐ฐ 7.00 PM (E.A.T)
#weareazamfc #timuborabidhaabora
#UpNext Kikosi chetu kinatarajia kucheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, keshokutwa Jumapili saa 1.00 usiku.
#weareazamfc #timuborabidhaabora