Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profileg
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

💥BA,MA-IDS,UDSM|
💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀

ID:861700170

calendar_today04-10-2012 16:55:59

676,0K Tweets

407,2K Followers

41,1K Following

mhd(@mhdhamad) 's Twitter Profile Photo

Achana na sheria ya kikokotoo, alietunga sheria ukimgonga Tembo ulipe $ 15,000 na Tembo akikuua familia ilipwe Tshs 500,000 pepo ataisikia kwa wengine.

account_circle
Don(@BDonD_) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA ™️ hizi semina huwa zinatolewa na watu ambao hata hawajahi kujiajiri...hawajui namna mtaani kulivyo kwa watu waliojiajiri!

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Mafuriko Pakistan

Mafuriko Dubai

Mafuriko Oman

Mafuriko Russia

Mafuriko Kazakhstan

Mafuriko Arusha

Mafuriko Rukwa

Mafuriko Morogoro

Mafuriko Rufiji.

Mafuriko Lindi

Mafuriko Mtwara

account_circle
M A G I R I(@Kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

. LHRC itazindua ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 tarehe 24 April, ni report iliyochambua kwa kina masuala ya demokrasia, uchumi, siasa, ukatili wa kijinsia, pamoja na haki za kiraia. Jisajili t.ly/APcEJ

. @humanrightstz itazindua ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 tarehe 24 April, ni report iliyochambua kwa kina masuala ya demokrasia, uchumi, siasa, ukatili wa kijinsia, pamoja na haki za kiraia. Jisajili t.ly/APcEJ #RipotiYaHaki2023 #HumanRightReport2023
account_circle