Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profileg
Bunge la Tanzania

@bunge_tz

Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

ID:4022434875

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today23-10-2015 07:03:45

3,0K Tweets

555,9K Followers

9 Following

Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kitaifa Jijini Arusha leo tarehe 1 Mei, 2024.

account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anawatakia wafanyakazi wote Heri ya maadhimisho ya siku ya Mei Mosi 2024

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe . Mussa A Zungu (Mb) afungua semina iliyoandaliwa na Taasisi chini ya Wizara ya Nishati, REA, Tanesco, TPDC, ECO ya kuwajengea uwezo wabunge kutokana na Maswali waliyouliza kipindi cha Maonyesho ya Nishati yaliyofanyika viwanja vya Bunge

Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Mkoani Arusha leo tarehe 30 Aprili, 2024 ambapo anatarajia kushiriki maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kesho tarehe 1 Mei, 2024.

Naibu Spika, Mhe. Mussa Zungu, amefanya mazungumzo na ugeni kutoka Mlambala Events Organization leo tarehe 30 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.

Mazungumzo yalilenga kutambulisha mbio maalum za SAMIA MARATHON ili kupata fedha kwa ajili ya kusaidia magonjwa ya Saratani.

Naibu Spika, Mhe. Mussa Zungu, amefanya mazungumzo na ugeni kutoka Mlambala Events Organization leo tarehe 30 Aprili, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. Mazungumzo yalilenga kutambulisha mbio maalum za SAMIA MARATHON ili kupata fedha kwa ajili ya kusaidia magonjwa ya Saratani.
account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amefanya mazungumzo na ugeni kutoka Ubalozi wa Indonesia nchini Tanzania ukiongozwa na Balozi wa Indonesia nchini, Mhe. Tri Yogo Jatmiko walipomtembelea leo tarehe 30 Aprili, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amefanya mazungumzo na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mhe. Sherif Abdelhamid Ismail alipomtembelea leo tarehe 29 Aprili, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo tarehe 29 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge ambaye pia ni Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kaskazini na Kusini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 27 Aprili, 2024 amezindua na kufungua Kituo cha Afya cha Chaani katika Jimbo la Chaani, Wilaya ya Kaskazini A.

Spika wa Bunge la , Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Aprili, 2024 ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar. Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge hilo ya masuala ya Uchukuzi Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson(Mb) akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge hilo ya masuala ya Uchukuzi leo tarehe 25 Aprili, 2024, Ofisini kwake Jijini Dodoma. Dr. Tulia Ackson

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson(Mb) akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge hilo ya masuala ya Uchukuzi leo tarehe 25 Aprili, 2024, Ofisini kwake Jijini Dodoma. @TuliaAckson
account_circle
Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo tarehe 24 Aprili, 2024.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tine Tonnes Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 24 Aprili, 2024.

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb) amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 leo tarehe 24 Aprili, 2024.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 leo tarehe 23 Aprili, 2024.

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Chama Cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Bunge la Malawi walipokutana na kuzungumza na Wajumbe wa Kamati Tendaji ya CPA ya Bunge la Tanzania Jijini Dodoma.Wajumbe hao wametembelea Bunge la Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu.

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Chama Cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Bunge la Malawi wakiongozwa walipokutana na kuzungumza na Katibu wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Katibu wa Sekretarieti ya CPA-Kanda ya Afrika,Ndg. Nenelwa Mwihambi, Ofisini kwake Jijini Dodoma