DETRICIA
@detriciapamba
Strategic Communications | Financial Inclusion | Accredited SDG Ambassador Under United Nations (Youth, Health and Gender Equality)
ID:1490658583364739072
http://www.detriciapamba.com 07-02-2022 12:08:08
180 Tweets
64 Followers
134 Following
Ukiwauliza watu 10 wanaomiliki hisa hasa hapa Tanzania, majibu yatakuwa...
'Niliambiwa zina faida, kwahiyo nikanunua'
'Walikuja kazini kutushawishi tununue, nikasema ngoja nijaribu'
'Rafiki yangu alisema ni uwekezaji mzuri'
Umejifunza nini? #AskMwenda