Dr. Philip Isdor Mpango(@dr_mpango) 's Twitter Profileg
Dr. Philip Isdor Mpango

@dr_mpango

The official account of the Vice President of the United Republic of Tanzania🇹🇿

ID:1449260724472143872

linkhttp://www.vpo.go.tz calendar_today16-10-2021 06:28:00

251 Tweets

73,9K Followers

7 Following

Dr. Philip Isdor Mpango(@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Sikukuu hii ya Pasaka itukumbushe kwamba hakuna ushindi bila kujitoa muhanga. Hususani kujitoa muhanga kwaajili ya wengine.

Lazima tuige mfano wa Bwana wetu Yesu Kristo kujitoa muhanga, nasi tufanye hivyo kwaajili ya maendeleo ya nchi yetu, maendeleo ya sasa na ya vizazi…

Sikukuu hii ya Pasaka itukumbushe kwamba hakuna ushindi bila kujitoa muhanga. Hususani kujitoa muhanga kwaajili ya wengine. Lazima tuige mfano wa Bwana wetu Yesu Kristo kujitoa muhanga, nasi tufanye hivyo kwaajili ya maendeleo ya nchi yetu, maendeleo ya sasa na ya vizazi…
account_circle
Dr. Philip Isdor Mpango(@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefungua Kongamano la Wanawake la Nishati Safi ya Kupikia mkoani Dodoma

Kwa namna ya pekee nawapongeza wadau wote kwa hatua mbalimbali mnazochukua ili kuhakikisha wanawake “wanapika kisasa”. Napenda kuwahamasisha kuendelea kubuni teknolojia mbalimbali za nishati mbadala…

Leo nimefungua Kongamano la Wanawake la Nishati Safi ya Kupikia mkoani Dodoma Kwa namna ya pekee nawapongeza wadau wote kwa hatua mbalimbali mnazochukua ili kuhakikisha wanawake “wanapika kisasa”. Napenda kuwahamasisha kuendelea kubuni teknolojia mbalimbali za nishati mbadala…
account_circle
Dr. Philip Isdor Mpango(@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi.

Hayati…

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi. Hayati…
account_circle
Dr. Philip Isdor Mpango(@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki Ufunguzi wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) 2024 katika mji wa Davos nchini Uswisi. WEF ni fursa ya kutafuta suluhisho za changamoto mbalimbali duniani, kuvutia uwekezaji pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya mataifa.

Ziara mkoani Njombe katika kukagua shughuli za maendeleo, kuzindua miradi , kusikiliza na kutatua changamoto za Wananchi. Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya mkoa huu ili kuongeza zaidi mchango wake katika kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Kamwene!

Karibu sana nyumbani Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa. Uendelee kuwa chachu ya amani, upendo na umoja wa Watanzania. Ni baraka kwa nchi yetu kupata Kardinali wa tatu.

Karibu sana nyumbani Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa. Uendelee kuwa chachu ya amani, upendo na umoja wa Watanzania. Ni baraka kwa nchi yetu kupata Kardinali wa tatu.
account_circle