drakenelson12πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@drakenelson12) 's Twitter Profileg
drakenelson12πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@drakenelson12

FOLLOW ME I FOLLOW BACK
follow back rate is @drakenelson12 πŸ’―β€οΈπŸΌ

MR @arsenal

ID:843922854395678720

calendar_today20-03-2017 20:31:02

3,7K Tweets

4,3K Followers

4,4K Following

drake nelson(@drakenelson_) 's Twitter Profile Photo

Usi sahau kuzitimiza zile ahadi ambazo
uli kuwa uki muahidi Mungu katikati ya maombi
yako ni deni jitahidi uzilipe βšͺ️

account_circle
drake nelson(@drakenelson_) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha una rafiki yoyote anaye kuambia
ukweli, Sio hawa wa Tajiri umepoa, Tajiri huna
Baya. Wewe utakua ni mtu gani usiye na Baya? βšͺ️

account_circle
drake nelson(@drakenelson_) 's Twitter Profile Photo

PASWORD YA
MAFANIKIO NI HI; Kuwa na
tabia ya kusaidia bila ya kuumia,
ukiwa huna sema sina, ukiwa
unacho saidia na ukisaidia
usijutie na kuumia, toa sana,
gawana na wenzio ulicho nacho,
inua maisha ya watu kwa siri
ondoa shida za watu kwa siri,
futa machozi ya watu bila ya

account_circle
drake nelson(@drakenelson_) 's Twitter Profile Photo

Ni vigumu kupata maendeleo
ya maana ikiwa hatutambui
hatua za kutoka tunakoanzia.
Unakoenda hakuna Maana
ikiwa hujui Asili yako βšͺ️

account_circle
drake nelson(@drakenelson_) 's Twitter Profile Photo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna wakati lazima baadhi ya vitu vifike mwisho
il vingine vipya vianze. Usi upuuze wakati huo
Baadhi yenu mpila utakuja kuwaua πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle