Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profileg
Jalilu Zaid

@jaliluzaid

Creative Photographer | Mtanzania Mmoja Mtumishi | Q’uran 93:5.
Midfielder @WAUZASISOFC

ID:1329696138

calendar_today05-04-2013 17:33:46

256,5K Tweets

137,7K Followers

924 Following

Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kujifunza kukatalika ni kitu cha muhimu sana. Kuna wakati unafika unalazimika kuelewa kuwa huhitajiki tena kama ilivyokuwa mwanzo. Wekeza kwako mwenyewe kujiboresha kuwa bora zaidi na kutengeza mazingira ya kuhitajika sehemu nyingine mpya.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Vile vikao ambavyo muda wa swala ukifika mnasimama kutimiza wajibu, halafu mkitaka kusimamisha swala mnaanza kusukumana nani aongoze Swala, yoyote litakayemuangukia ndio anakuwa Imam.. >>>>>>

Kinachosikitisha ni kuwa mwanadamu maisha yake yote hupambana kwa ajili ya Dunia. Ila kipindi anapokufa, Dunia haimpi cha ziada ila tu kipande kidogo cha ardhi ili azikwe ndani yake.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kitu ambacho hakiko katika mamlaka yako kukitolea ufafanuzi usijichanganye kukizungumzia hata kama una majibu sahihi kukihusu.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Men who are married. Please give a piece of advice to Men who are not married yet. It can be about anything.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kutafuta maarifa ya Dini hakuna ukomo wa umri. Usijione umezeeka au umri unasogea hivyo ukapuuza. Kama hufahamu kusoma au unataka kuanza safari ya kujifunza Quran basi hii Yasarnal Qur’an ni kitabu ambacho kitakusaidia hasa ukipata Mwalimu mwenye kukufundisha hizi herufi na…

Wakati mwingine ukiwafanyia watu kazi kwa gharama ndogo wanakudharau, hawezi mtu kukulipa pesa ndefu na ukafanya kazi yake vizuri halafu akakuletea dharau na mazoea. Ni muhimu kuitambua thamani yako na kujiheshimu.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Rufiji na Arusha wanapitia kipindi kigumu sana. Mwenyezi Mungu awape ustahamilivu na awavushe salama katika kipindi hiki kigumu kwenu.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Haijalishi unaishi sehemu ya thamani gani, usafi ni muhimu sana kwako na mazingira yako. Pangilia vizuri sehemu yako.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

The same way you are free to wear your half naked/naked clothes. That’s what Allah commands them to wear. It’s a free world.

account_circle