Jokate Mwegelo(@jokateM) 's Twitter Profileg
Jokate Mwegelo

@jokateM

Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Women’s Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid

ID:383368286

calendar_today01-10-2011 19:13:19

45,2K Tweets

1,1M Followers

1,3K Following

Follow People
Gloria Anderson(@gloriaanderson_) 's Twitter Profile Photo

I am humbled and grateful that the World Youth Development Forum Committee and All China Youth Federation have given me the opportunity to share to the global leaders about the Project at the World Youth Development Forum's opening ceremony in Beijing.

I am humbled and grateful that the World Youth Development Forum Committee and All China Youth Federation have given me the opportunity to share to the global leaders about the #onecomputerlaboneschool Project at the World Youth Development Forum's opening ceremony in Beijing.
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

kindly retweet umsaidie mtu kupata bidhaa nzuri kwa ajili ua mtoto wake

mvua zimeanzaaaa
agiza boots za mwanao , Nzuri na imara kwa 35 elf pekee ..Raincoats kwa 20 elf pekee . hii inaitwa mpende mwanao
sizes 24-38 for boots
0782388366

kindly retweet umsaidie mtu kupata bidhaa nzuri kwa ajili ua mtoto wake mvua zimeanzaaaa agiza boots za mwanao , Nzuri na imara kwa 35 elf pekee ..Raincoats kwa 20 elf pekee . hii inaitwa mpende mwanao sizes 24-38 for boots 0782388366
account_circle
Jokate Mwegelo(@jokateM) 's Twitter Profile Photo

I am with you on this. We ought to do something about it. Celebrating those who paved the way, made the sacrifice and opened doors for us.

account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

As I’m hopeful to see what Jokate Mwegelo has in store for UWT, my one and only request is to re-establish the UWT archives and make it public for those interested to read history. I have been reading about women during and after independence and there are mentions of magazines by UWT

account_circle
Mwalulesa Jr.💎(@Dully47) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio CCM Wala Chadema, ila mara yangu ya kwanza kumfaham Mh.Jokate Mwegelo ilikuwa mwaka 2011 kipindi namaliza Darasa la Saba pale RuandaNzovwe (Mbeya), alipo Toka na sas alipo najifunza mengi hasa kutokata tamaa ya kupambana na kusubiri wakati sahihi kwenye maisha yako. 🙏

Mimi sio CCM Wala Chadema, ila mara yangu ya kwanza kumfaham Mh.@jokateM ilikuwa mwaka 2011 kipindi namaliza Darasa la Saba pale RuandaNzovwe (Mbeya), alipo Toka na sas alipo najifunza mengi hasa kutokata tamaa ya kupambana na kusubiri wakati sahihi kwenye maisha yako. 🙏
account_circle
Kaka Ujugu  𝕏 🇹🇿(@5Madas) 's Twitter Profile Photo

Najaribu kuwaza kwa sauti kwa alichokifanya Mh Jokate Mwegelo kingeweza kufanyika kwa ukubwa zaidi kikaweza kuwafika vijana wengi zaidi kijana angeweza kufika mbali kimaendeleo vijana wengi wanavitu ambavyo vinatija ila kwenye suala la kuwezeshwa ndo inakuwa changamoto.
Hongera sana…

Najaribu kuwaza kwa sauti kwa alichokifanya Mh @jokateM kingeweza kufanyika kwa ukubwa zaidi kikaweza kuwafika vijana wengi zaidi kijana angeweza kufika mbali kimaendeleo vijana wengi wanavitu ambavyo vinatija ila kwenye suala la kuwezeshwa ndo inakuwa changamoto. Hongera sana…
account_circle
Jokate Mwegelo(@jokateM) 's Twitter Profile Photo

Asante kwa kunipokea na hongera kwa kutumia michango vyema. Hujakimbia na michango 😅.
Hakika ulistahili kupata support ndani ya muda mfupi tumeona matokea chanya. Hongera mno.

account_circle
John kalage 🇹🇿(@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa Jokate Mwegelo Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi.

Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu.

Karibu Tena Mhe hapa ni kwako 😅🙏

Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa @jokateM Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi. Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu. Karibu Tena Mhe hapa ni kwako 😅🙏
account_circle
Grace Mwita(@GraceMwita1) 's Twitter Profile Photo

Jokate Mwegelo Kiongoz wa wanawake machinga complex tunakukaribisha, wanawake na mabinti wapo tayar ,karib ujionee waambanaji kwenye vitengo tofauti

account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

“Ni wahakikishie UWT tutakuwa daraja na sio kikwazo kwa wanawake ambao watakuwa na nia ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi” Ndg.Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UWT.

“Ni wahakikishie UWT tutakuwa daraja na sio kikwazo kwa wanawake ambao watakuwa na nia ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi” Ndg.@jokateM Katibu Mkuu UWT. #UWTkwaKilaMwanamke
account_circle
minah🌹(@queeen_minah) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Jokate Mwegelo kwakweli nina maswali mengi natamani kumuuliza…for inspiration purposes🥹🔥nilikua namfatilia sana since enzi ana brand ya kidoti…😊she is a very smart lady

account_circle