WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
@maendeleoyajami
Ukurasa rasmi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum S.L.P 573 Dodoma, Tanzania :Official page for MoCDGWSG
ID:881852366605213697
http://jamii.go.tz 03-07-2017 12:29:23
6,2K Tweets
32,7K Followers
81 Following
I extend heartfelt gratitude to Ireland ๐ฎ๐ช and all our development partners for their unwavering support towards the launch of the 2nd National Plan of Action to End Violence Against Women & Children.
Your collaboration through the United Nations TZ Tanzania SDG Acceleration
Vikundi mbalimbali vya sanaa vikitoa burudani katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia na Uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto unaofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma Mei 15, 2024.
#SikuyaFamilia2024 #MTAKUWWAII
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Pindi Chana akiwasili katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia na Uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Mei 15, 2024.
#SikuyaFamilia2024
Ahsanteni wote mlioweza kujiunga Space na Mhe. Dr. Dorothy Gwajima licha ya changamoto kubwa ya mtandao kwa siku ya leo!! Hakika tutaandaa mkutano mwingine kuweza kuzungumza na kusikia michango yenu