Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profileg
Masho

@mashoo_jr

Street Nigga 👏Kitaa Kimenilea...Acha Tuishi Wanangu✊

ID:1445867470087237632

calendar_today06-10-2021 21:44:24

242 Tweets

155 Followers

229 Following

Bony 📚(@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

cashmetanzania Kuelekea siku ya wapendanao, nkwatakie heri watu wote wanaopendana kwa dhati, wadumishe mapenzi yao maana kupendana ni jambo muhimu katika maisha, watu wasisahau kutumia huduma ya cashmetanzania mabingwa hawa wa mikopo hakika huduma zao ni nzuri sana

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Zile meseji tulizo wahi watumia na wakazipuuza sisi tuliamua tusizifute ziwe chachu ya sisi kwenda mbele siku wao wakitutafuta tutawapa screenshots kama ishara ya Salamu Kwao...

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Samahani ni neno dogo Sana ambalo linaweza Kukupa Amani ambayohukutarajia ko Usiogope kuomba msamahan

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Wenye fursa ni wale Usiowajua lakini kwa Sababu Umeamua kuishi kimazoea wanakuja kwako na wanaondoka na Fursa Zao

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Maisha huwa na jibu moja tu ambalo ni 'Yes' nikimaanisha Endapo yangepewa nafasi yaulizwe huyu unataka afanikiwe yatakwambia Yes na jee huyu unataka asiganikiwe yatakwambia No So learn to lower Ur expectations

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Yule aliekupa wewe ndo kaninyima mimi na kama Riziki anatoa yeye Basi ntakosa Mimi iiila mola ndo anaetoa tena kwa Foleni hata Kama niko Nyuma nitapata Lazima 🎤

Usiwahi kaa kumsema mtu wewe mwenyewe Unavingi Unaficha kheri mwenzako vinaonekana, I just hate that be positive nat always talking shit about someone

account_circle
Masho(@mashoo_jr) 's Twitter Profile Photo

Ni sawa Uliaga Unaenda kupambana lakini wakikupigia kukujulia hali wasimulie mazuri wazazi wako wapate amani mwanaaume Usilie lie lia ukiwa job Futa chozi endelea na kazi

account_circle