Mchachu, PhD🐐(@mchachu_) 's Twitter Profileg
Mchachu, PhD🐐

@mchachu_

Kikiwaka Mulika, Kikizimika Papasa!!! #Simba #Chelsea

ID:1363064310956765189

calendar_today20-02-2021 09:54:08

206,6K Tweets

25,7K Followers

1,3K Following

Mkushi(@Mkushiiii) 's Twitter Profile Photo

Sema Wananchiiiiii ivi uyu jamaa kaja kubeba jezi au kaja kufanya nini Yanga japo? usajili wake tuliamshwa saa 6 usiku? ☹️😅

Sema Wananchiiiiii ivi uyu jamaa kaja kubeba jezi au kaja kufanya nini Yanga japo? usajili wake tuliamshwa saa 6 usiku? ☹️😅
account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Namna Game ilivyo kwa sasa, unaweza kudhania msanii yupo kimya muda mrefu...

Kumbe ngoma yake ya mwisho katoa baada ya mwezi mmoja tuu 😂

account_circle
BAD KID CHILL CITY🌟(@HastaRuego) 's Twitter Profile Photo

Hii mtu anakuta una charge simu harafu yeye anatoa anaweka yakwakwe ni moja ya level ya chini kabisa ya ustaarabu,ukikuta mtu ana charge simu yake acha ijae kabisa ndiyo uweke yako!!

account_circle
Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Kindly Repost

Wawekezaji wa ardhi nimewaletea ujumbe mzuri pitieni vizuri mkachukue Ardhi Njombe & Iringa muwekeze
📞 0768832035

Kindly Repost Wawekezaji wa ardhi nimewaletea ujumbe mzuri pitieni vizuri mkachukue Ardhi Njombe & Iringa muwekeze 📞 0768832035
account_circle