Mwanasheria wa ๐•(@mwanasheriaT) 's Twitter Profileg
Mwanasheria wa ๐•

@mwanasheriaT

Entrepreneur | @ChelseaFc
| Dm for follow back | Dm for Business

ID:1472317280046489601

calendar_today18-12-2021 21:26:26

51,8K Tweets

14,9K Followers

4,4K Following

Dr SALUMU(@Dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

CHERIMOYA: ni tunda lenye ladha tamu mfano wa mchanganyiko wa nanasi, stroberi na ndizi ambalo hukupatia 32% ya Vitamin C unayoihitaji kila siku ambayo huimarisha mfumo wako wa kinga. Pia ina wingi wa madini ya potasiamu na magnesiamu ambayo husaidia kupunguza shinikizo la damu.

CHERIMOYA: ni tunda lenye ladha tamu mfano wa mchanganyiko wa nanasi, stroberi na ndizi ambalo hukupatia 32% ya Vitamin C unayoihitaji kila siku ambayo huimarisha mfumo wako wa kinga. Pia ina wingi wa madini ya potasiamu na magnesiamu ambayo husaidia kupunguza shinikizo la damu.
account_circle
Brazatall_tz(@Amon_Deus) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana HakiElimu kwa kufanya utafiti huu ukiwa na lengo la kuhakikisha mtoto wa kike anapata haki yake ya kutimiza ndoto na Malengo yake kupitia elimu.

Hongera sana @HakiElimu kwa kufanya utafiti huu ukiwa na lengo la kuhakikisha mtoto wa kike anapata haki yake ya kutimiza ndoto na Malengo yake kupitia elimu. #UstawiWaWatoto
account_circle
Brazatall_tz(@Amon_Deus) 's Twitter Profile Photo

Kupitia ripoti ya HakiElimu imezindua matokeo ya utafiti wa utekelezwaji wa kampeni ya kurudisha shulen wasichana waliokuwa wamesitishiwa masomo yao,, Wanahitaji mazingira salama zaidi ili waweze kufikia ndoto zao.

Kupitia ripoti ya @HakiElimu imezindua matokeo ya utafiti wa utekelezwaji wa kampeni ya kurudisha shulen wasichana waliokuwa wamesitishiwa masomo yao,, Wanahitaji mazingira salama zaidi ili waweze kufikia ndoto zao. #UstawiWaWatoto
account_circle
Tajiri wa upendo๐Ÿ•ฏ๏ธ(@luvandalugano47) 's Twitter Profile Photo

Mpwa naomba REPOST yako ๐Ÿ‘‡
Airforce 1 ๐Ÿ”ฅ
Price: 50k tu
Loc: Dodoma Barabara ya 7
DSM sinza kijiweni
Cont: 0657109082

Mpwa naomba REPOST yako ๐Ÿ‘‡ Airforce 1 ๐Ÿ”ฅ Price: 50k tu Loc: Dodoma Barabara ya 7 DSM sinza kijiweni Cont: 0657109082
account_circle
Fabrizio Romano(@FabrizioRomano) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ต๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Thiago Silva really plans to return to Chelsea one day in non-playing role to be part of the club.

He loves and London, same for his family and kids in the Academy.

Silva had an important proposal from abroad in January but he rejected to help Chelsea until the end.

๐Ÿ”ต๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Thiago Silva really plans to return to Chelsea one day in non-playing role to be part of the club. He loves #CFC and London, same for his family and kids in the Academy. Silva had an important proposal from abroad in January but he rejected to help Chelsea until the end.
account_circle
Dr SALUMU(@Dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU MAMBO MUHIMU YA KUFANYA KATIKA KILA HATUA YA UJAUZITO

๐Ÿคฐ๐Ÿคฐ

๐Ÿ‘‡๐Ÿงต

1.Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito
( 1 TRIMESTER PREGNANCY)

๐Ÿ”นPanga kuonana na mkunga wako
Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye.

FAHAMU MAMBO MUHIMU YA KUFANYA KATIKA KILA HATUA YA UJAUZITO ๐Ÿคฐ๐Ÿคฐ #Uzi๐Ÿ‘‡๐Ÿงต 1.Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito ( 1 TRIMESTER PREGNANCY) ๐Ÿ”นPanga kuonana na mkunga wako Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye.
account_circle