Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profileg
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@ommyfitness

#UdsmAlumni | Coach | Fitness & Diet| Become a Man | Fitness Trainer |Toka home | No Masturbation| No p0rn*| Hata nikichukiwa ni sawa ila sio vyema nikapuuzwa

ID:820325229658566658

linkhttps://instagram.com/ommyfitness?utm_source=qr&igshid=NGExMmI2YTkyZg%3D%3D calendar_today14-01-2017 17:42:30

25,7K Tweets

54,1K Followers

335 Following

Playboy(@Sirizaplayboy) 's Twitter Profile Photo

Tumia hela kwa ajili yako,

Tumia hela kwa ajili ya wazazi wako,

Tumia hela kwa ajili ya wadogo zako,

Tumia hela na marafiki,

Kabla hujatumia kwa demu wako.

Watakushukuru sana, lakini demu wako ataona ni haki yake.

account_circle
Prince Fynn(@Prince_Fynnd) 's Twitter Profile Photo

MASTURBATION IS BAD!

MASTURBATION IS BAD!!

MASTURBATION IS BAD !!!

Men that are addicted to 'MASTURBATION' might end up not ejaculating or having sexual urges with having intimacy with their wife.

account_circle
James DiNicolantonio(@drjamesdinic) 's Twitter Profile Photo

โ€œHealthy breakfastโ€
- Granola
- Fruit in bottom yogurt
- Cheerios

โ€œUnhealthy breakfastโ€
- Meat
- Eggs
- Full fat yogurt

One is fake. The other is real food.

account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kufanikiwa maishani lazima utoe sadaka;

Kama unataka kupungua toa sadaka sukari,

Kama unataka kuendelea toa sadaka starehe,

Kama unataka hela toa sadaka wanawake,

Kama unataka misuli toa sadaka uvumilivu,

Kama unataka maarifa toa sadaka uvivu.

Hakuna kinachokuja rahisi.

account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Space laser-Direct Energy Weapons sio conspiracy theory.

Ni teknolojia ambayo imeshatumika.

Hii inaaminiwa imeua Rais wa Iran

account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Iran alishambuliwa kutoka angani na space laser,

Orodha ya marais waliokufa kwa ajali za angani;

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Rais wa Paraguay-1940 ๐Ÿ›ฉ๏ธ
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ญ Rais wa Philippines-1957๐Ÿ›ฉ๏ธ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Rais wa Brazil-1958๐Ÿ›ฉ๏ธ
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Rais wa Iraq-1966๐Ÿ›ฉ๏ธ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Rais wa Brazil-1967๐Ÿ›ฉ๏ธ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Rais wa Bolivia-1969 ๐Ÿš
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Rais wa

Rais wa Iran alishambuliwa kutoka angani na space laser, Orodha ya marais waliokufa kwa ajali za angani; ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Rais wa Paraguay-1940 ๐Ÿ›ฉ๏ธ ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ญ Rais wa Philippines-1957๐Ÿ›ฉ๏ธ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Rais wa Brazil-1958๐Ÿ›ฉ๏ธ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Rais wa Iraq-1966๐Ÿ›ฉ๏ธ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Rais wa Brazil-1967๐Ÿ›ฉ๏ธ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Rais wa Bolivia-1969 ๐Ÿš ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Rais wa
account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka haya;

1. Kuna wanaume watakulala usipokuwa na akili
2. Kusimamia maneno yako ni mamlaka makubwa
3. Usiruke ruke na 'ndio' , 'hapana' au 'labda'
4. Kuwa yule yule na mwenye maamuzi
5. Ficha hisia kwa wengine na onesha nguvu
6. Achia huruma kwa wanawake na watoto
7. Lia

account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kwenye hii dunia huwezi kumridhisha kila mtu,

Walimchukia Magufuli licha ya kufanya mambo makubwa,

Ndio maana hutakiwi kufanya vitu kuridhisha watu kwa sababu watakuchukia tu,

Fanya kitu kinachokupa furaha,

Hii dunia tunakuja na kusepa.

account_circle