Radio Maisha
@radiomaisha
Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.
ID:139772819
http://standardmedia.co.ke/radiomaisha/ 03-05-2010 16:51:06
1,1M Tweets
660,0K Followers
294 Following
Follow People
Danadana Viwanjani na Stephen Mukangai, Walter Kinjo na @zeleshaffie kutoka saa tisa mchana hadi saa moja usiku. #DanadanaViwanjani #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Maisha 254 with the Dope Boyz @clemmo25flow, Guzman Mikidadi na Mr Twisting Tiger. 11am - 3pm. #DopeBoyz254 #RadioZaidiYaRadio
Katika maisha ya nini kujibandikia malengo mengine mapya na yale ya mwaka jana hujatimiza?
Tegea nasaha za busara kutoka kwa Guru Ust.Wallah Bin Wallah. Maneeeeno hayo!!! #NuruYaLugha
Unaendelea kuelimika kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama katika Radio Maisha.
Tuko Mbele Pamoja. #NuruYaLugha
Kitendawili?
Shule yangu ni ya wanawake peke yao. Jibu ni ________
Mshindi wa kwanza atapata zawadi ya kitabu cha hadithi kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama (7am-11am)
Nahodha Victor Mulama #NuruYaLugha #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Maisha Cocktail na @thisisgathoni, Kassim Mbui🇰🇪 na DJ Mexxy kutoka saa nne hadi saba usiku #MaishaCocktail #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Club Rhumba na @titinirhumba na Deejay Darius kutoka saa moja hadi saa nne usiku. #RhumbaRepublik #RadioZaidiYaRadio
Maisha Sherehe Friday na Mfalme Wa Dimba na @djgenius01. 3pm - 7pm. #MaishaShereheFriday #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Konnect Friday Party na Queen of Airwaves na Mr Twisting Tiger. 12pm - 3pm. #MwendeOnKonnect #MwendeNClemmoKonnect #RadioZaidiYaRadio
On a war path: Ruto allies put judges on trial
Subscribe to the epaper on epaper.standardmedia.co.ke to read these and more stories.
#FactsFirst #MaishaConcertFriday #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
The gospel tunes are very touching Solomon zully Shugaboy KE djyoungkenya Radio Maisha
#Maishaconcertfriday
Radio Maisha Solomon zully Shugaboy KE djyoungkenya Wow ,izo gospel zimeweza jo 🔥🔥🔥🔥🔥 Solomon zully Shugaboy KE kitengela tuko mbele pamoja kama Kawa #maishaconcertfriday