Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profileg
Radio Maisha

@radiomaisha

Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.

ID:139772819

linkhttp://standardmedia.co.ke/radiomaisha/ calendar_today03-05-2010 16:51:06

1,1M Tweets

661,7K Followers

294 Following

Follow People
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeendelea kujikanganya kuhusu taarifa za kuwapo mbolea ghushi nchini. Waziri wa Kilimo sasa anadai kuwa iliyokuwapo sio mbolea ghushi ila mbolea isiyokuwa na madini hitajika. Who's fooling who?
standardmedia.co.ke/podcast/podcas…

Serikali imeendelea kujikanganya kuhusu taarifa za kuwapo mbolea ghushi nchini. Waziri wa Kilimo sasa anadai kuwa iliyokuwapo sio mbolea ghushi ila mbolea isiyokuwa na madini hitajika. Who's fooling who? standardmedia.co.ke/podcast/podcas… #SepetukoPodcast
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

🎈🎉 Mark your calendars for April 27th!

Club Kiboko Family Fun Day is back at Ulinzi Sports Complex Langata📍🥳

Grab your ticket at tickethub.co.ke/event/music-an…

🎈🎉 Mark your calendars for April 27th! Club Kiboko Family Fun Day is back at Ulinzi Sports Complex Langata📍🥳 Grab your ticket at tickethub.co.ke/event/music-an… #ClubKibokoFamilyFunDay
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Jibu la kitendawili cha wiki kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ni....... NJIA/BARABARA.

Hongera Edwin Mwangeje kwa kuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi!

Jibu la kitendawili cha wiki kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ni....... NJIA/BARABARA. Hongera Edwin Mwangeje kwa kuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi! #NuruYaLugha
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Kitendawili cha Wiki:

Mimi huenda na mwenzangu lakini haniambii nipumzike. Tegua: jibu ni ____

Zawadi ya Kamusi Pevu ya Kiswahili Toleo la Tatu ipo kwa wa kwanza kutoa jibu sahihi

Karibu sana kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ( 7am -11am).

Nahodha Victor Mulama

Kitendawili cha Wiki: Mimi huenda na mwenzangu lakini haniambii nipumzike. Tegua: jibu ni ____ Zawadi ya Kamusi Pevu ya Kiswahili Toleo la Tatu ipo kwa wa kwanza kutoa jibu sahihi Karibu sana kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ( 7am -11am). @vmulamaofficial #NuruYaLugha
account_circle
KTN News(@KTNNewsKE) 's Twitter Profile Photo

Robinson Okenye: We want to get to the sweetest part of the day that is all about the predictions for the weekend. I am joined by jamaa wa Manchester United

Robinson Okenye Moses Wakhisi Hassan Jumaa

account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Stay ahead of the game with Moses Wakhisi, Hassan Jumaa, Robinson Okenye and Stephen Mukangai on , tonight at 10pm on KTN News. 📺

Are the league winners still in control, or will the underdogs shake things up? Stand by your post🥅

Stay ahead of the game with @moseswakhisi, @Hassanjumaa, @R_okenye and @SMukangai on #TheFootballSlip, tonight at 10pm on KTN News. 📺 Are the league winners still in control, or will the underdogs shake things up? Stand by your post🥅
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Hebu fikiria unachoweza kununua na shilingi mbili?

Hapa Radio Maisha kwa ushirikiano nawe msikilizaji, tumeamua kwamba dada hawa wasome. Itakuchua wewe, mimi, yaani sisi, kujinyima tu shilingi mbili kwa siku. Shilingi mbili tu yako na yangu kwa Josline na Mary kupata tabasamu…

Hebu fikiria unachoweza kununua na shilingi mbili? Hapa Radio Maisha kwa ushirikiano nawe msikilizaji, tumeamua kwamba dada hawa wasome. Itakuchua wewe, mimi, yaani sisi, kujinyima tu shilingi mbili kwa siku. Shilingi mbili tu yako na yangu kwa Josline na Mary kupata tabasamu…
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Flags up, cards out! 🏁⚽

Stay ahead of the game with Moses Wakhisi, Hassan Jumaa, Robinson Okenye and @smukangai on , tonight at 10pm on KTN News. 📺

Are the league winners still in control, or will the underdogs shake things up? Stand by your post🥅

account_circle