Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profileg
Duduqwa

@rashdady

mwananchi..

ID:774901304313470976

calendar_today11-09-2016 09:24:02

427 Tweets

186 Followers

364 Following

Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Katina swala hili la mandonga mtu kazi,,inainyesha ni kiasi gani wanahabari wetu ni darasa la 7 B..wao wanaloliona wanaenda nalo bila kuhakiki taarifa,,ni George Job na ndio waliosimamia ukweli..

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Ligi imesimama,wachambuzi kwa sasa wanachambua kuvunjika kwa ndoa ya Haji Manara Tena kiufundi zaidi ya vile wanavyouchambua mchezo wa mpira..kweli lile BUGATI.

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Christmas πŸŽ„,ndugu jamaa na marafiki,tusheherekee kwa amani na utulivu…❀️

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Niko hapa manzese Argentina,kuna Shangwe kama lote,eti wametwaa kombe la Dunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Kwa kizazi Chetu cha 80 mpaka 90,hatuelewi izi story za maradona kulijua boli zaidi ya mess,,story kubwa tunayoipata kumuhusu Diego ni goli la mkono dhidi ya England,,ila lapulga tunamuona,anabalaa huyoo,Anajua huyooo.

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Inatia moyo kuona nchi yatu bado ina vijana majasiri na waaminifu,na walio tayali kuyatoa maisha yao kwa ajili ya kusaidia wengine,kamanda kaokoa watu kwenye ajali ya ndege,,lakini kuna kijana mpumbavu anapoona ajali ukimbilia kupora mali za wahanga.

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Eti simba,simba sifa simba analiwa,simba anafugwa,simba anatiwa mimba na anazalishwa, Alikiba hii ngoma ya tile ni ya motoooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Bingwa wa Epl yuko bize kusajili, alafu sisi nafasi ya 3 kumsajili bruno tunaona ndio tumemaliza kila kituπŸ˜‚πŸ˜‚

Bingwa wa Epl yuko bize kusajili, alafu sisi nafasi ya 3 kumsajili bruno tunaona ndio tumemaliza kila kituπŸ˜‚πŸ˜‚
account_circle
REMIJA KI MVP 2024 🐐(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Mbavu zinauma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Duduqwa(@rashdady) 's Twitter Profile Photo

Wale wanaulizana ni nani anaestahili kuwa nahodha wa yanga,inamaana hawamjui au chokochoko tuu?😎😎

Wale wanaulizana ni nani anaestahili kuwa nahodha wa yanga,inamaana hawamjui au chokochoko tuu?😎😎
account_circle
Mzawa Blog Tz(@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Wapwa hii ni safari hadi asubuhi

TUINUANE
weka handle follow/follow back wapwa wote katika post hii

'Leaving No One Behind'πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Wapwa hii ni safari hadi asubuhi TUINUANE weka handle follow/follow back wapwa wote katika post hii 'Leaving No One Behind'πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
account_circle
Modern Essay Writers & Assignment Help(@ModernWriters_) 's Twitter Profile Photo

Wapwaa tulikula kiapo kunyanyuana
Naona kama tuna sahau majukumu
Tuliyo pewa weka handle yako watu
Watakao like una wa follow wata follow back,hakikisha una Retweet wengi waone

Mpango ni RETWEET

account_circle