Eng. Adelah(@ringia_adelah) 's Twitter Profileg
Eng. Adelah

@ringia_adelah

Mama Arielle|| I serve a miracle worker God||Ardhi Uni. Alumni|| https://t.co/3dyATUj2l2 ||For business call 0686332222

ID:962449349224685568

linkhttps://maps.app.goo.gl/SLBtFBscrdXpNAz97?g_st=ic calendar_today10-02-2018 22:13:01

37,5K Tweets

8,7K Followers

380 Following

viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

'Uchumi wa vyombo vya habari ni muhimu sana na kwa sasa naelewa kuna wanahabari wanategemea bahasha kutoka kwa watu ili kufika kwenye eneo la tukio na kama tunavyojua anayelipia ngoma ndio anachagua nyimbo.' - Nape Moses Nnauye

'Uchumi wa vyombo vya habari ni muhimu sana na kwa sasa naelewa kuna wanahabari wanategemea bahasha kutoka kwa watu ili kufika kwenye eneo la tukio na kama tunavyojua anayelipia ngoma ndio anachagua nyimbo.' - @Nnauye_Nape #WPFD2024
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Mapokezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre akipokelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye kwenye ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Habari

Mapokezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre akipokelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye kwenye ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Habari #WPFD2024
account_circle
Eng. Adelah(@ringia_adelah) 's Twitter Profile Photo

Kuna namna ambayo mtu akikupigia simu unajua huyu ni mteja na huyu anapiga simu kwa kua ameiona mtandaoni🀣

account_circle
Eng. Adelah(@ringia_adelah) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday baba mtoto A1
Mungu akupe maisha marefu na furaha tele
Leo upitie zawadi mwenge, tunaanza na charger kwanza ya tabletπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

cc: Ms_Genya

account_circle
π‘΄π’‚π’Œπ’‚π’—π’†π’π’Š ο£Ώ(@Makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

13 series available
iPhone 13
128Gb-1,500,000
256Gb-1,600,000

iPhone 13 Pro
128Gb-1,750,000
256Gb-1,850,000

iPhone 13 Pro Max
128Gb-1,850,000
256Gb-1,950,000

Exchange allowed
Free delivery countrywide

0652795468

13 series available iPhone 13 128Gb-1,500,000 256Gb-1,600,000 iPhone 13 Pro 128Gb-1,750,000 256Gb-1,850,000 iPhone 13 Pro Max 128Gb-1,850,000 256Gb-1,950,000 Exchange allowed Free delivery countrywide 0652795468
account_circle
π‘΄π’‚π’Œπ’‚π’—π’†π’π’Š ο£Ώ(@Makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

13 series available
iPhone 13
128Gb-1,500,000
256Gb-1,600,000

iPhone 13 Pro
128Gb-1,750,000
256Gb-1,850,000

iPhone 13 Pro Max
128Gb-1,850,000
256Gb-1,950,000

Exchange allowed
Free delivery countrywide

0652795468

13 series available iPhone 13 128Gb-1,500,000 256Gb-1,600,000 iPhone 13 Pro 128Gb-1,750,000 256Gb-1,850,000 iPhone 13 Pro Max 128Gb-1,850,000 256Gb-1,950,000 Exchange allowed Free delivery countrywide 0652795468
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Suala la uandaaji wa bajeti linaanzia kwenye ngazi ya familia. Ni muhimu kwa wazazi kuandaa mapema bajeti ya elimu inayojitosheleza kulingana na idadi ya watoto.

HakiElimu

Suala la uandaaji wa bajeti linaanzia kwenye ngazi ya familia. Ni muhimu kwa wazazi kuandaa mapema bajeti ya elimu inayojitosheleza kulingana na idadi ya watoto. #ElimuKwanza @HakiElimu
account_circle
Boniface Chengula(@bonichengula) 's Twitter Profile Photo

iPhone 15 plain
128gb Tsh. 2,150,000

iPhone 15 pro
256gb Tsh. 3,250,000

iPhone 15 pro max
256gb Tsh. 3,500,000

Comes with One year Apple warranty

πŸ“Mwenge ITV

☎️0752-992667

iPhone 15 plain 128gb Tsh. 2,150,000 iPhone 15 pro 256gb Tsh. 3,250,000 iPhone 15 pro max 256gb Tsh. 3,500,000 Comes with One year Apple warranty πŸ“Mwenge ITV ☎️0752-992667
account_circle
Eng. Adelah(@ringia_adelah) 's Twitter Profile Photo

Nimekumbuka kuna siku nilikua pale Gondwe bespoke akaja mzee mmoja akaomba kufungiwa tai, baada ya kufungiwa akauliza hapa wanafanya nini wakasema wanashona suti akaanza kuwashauri waweke vitambaa vya suti ili waonekane wanashona suti, anashauri serious nikawa nacheka kimoyoniπŸ˜‚

account_circle