H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profileg
H Simba - MCIPS

@simbahd

Consulting

Procurement & Electronics (Telecom, Mining and Banking)

Local Content

Government Relations & Engagements

ID:500662681

linkhttp://www.asnl.co.tz calendar_today23-02-2012 10:32:55

22,0K Tweets

3,1K Followers

1,0K Following

H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

SANAA TANZANIA LEO NA KESHO

-Mabadiliko ya kazi za Tingatinga, Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam, Tanzania.

Tunajifunza kila siku, Je unaifahamu sanaa ya ?

Iko wapi kazi ya Mwanzo ya Tingatinga?

Cc Falsafa Baba!

account_circle
H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

Urithi wa Lilanga, George Lilanga mzaliwa wa kusini mwa Tanzania, mmoja kati ya wasanii mahiri Tanzania, anajulikana sana kwa umahiri wake katika Sanaa ya Mashetani.

George Lilanga 1923-2005.

Urithi wa Lilanga, George Lilanga mzaliwa wa kusini mwa Tanzania, mmoja kati ya wasanii mahiri Tanzania, anajulikana sana kwa umahiri wake katika Sanaa ya Mashetani. George Lilanga 1923-2005.
account_circle
H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

Baada ya wiki ndefu na nzuri pamoja na wageni wangu tukizunguka hapa na pale Tanzania, leo tumefika hapa kwa ajili ya kuwaonesha vyakula vyetu.

hawajawahi kuniangusha

Baada ya wiki ndefu na nzuri pamoja na wageni wangu tukizunguka hapa na pale Tanzania, leo tumefika hapa kwa ajili ya kuwaonesha vyakula vyetu. #ChefPride hawajawahi kuniangusha #LocalContent
account_circle
Hon. Madisha(@Willie_Madisha) 's Twitter Profile Photo

Having worked with you in the same office ingawa ilikua kwa muda mfupi ila nimejifunza mengi sana kutoka kwako. Mengi ni jinsi watu wanavokuongelea kwa uzuri. From lifestyle to professionalism wewe ni mfano mzuri. Keep it up brother

account_circle
H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa njiani kutoka Liganga, kuelekea Mchuchuma nimepita hapa, kwa muda mrefu nimesikia story za Lugarawa, leo nimepafika. Nilitamani kufika maporoko wanakozalisha umeme wao,muda haukutosha.

Geoffrey Kirenga(@GeofrreyK) 's Twitter Profile Photo

On 13.04.2024, 0.66 kg of ME avocados at M&S, UK, sold for £2.00, that is about TShs 990/- per fruit today. How do prices compare in the EU, Indian, Chinese, and American markets? Have you spotted Tanzanian produce in your local stores? Share your findings here.

On 13.04.2024, 0.66 kg of ME avocados at M&S, UK, sold for £2.00, that is about TShs 990/- per fruit today. How do prices compare in the EU, Indian, Chinese, and American markets? Have you spotted Tanzanian produce in your local stores? Share your findings here.
account_circle
H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

Gold Price Performance in 20 years.. interested to see the next week Performance following Iran-Israel frictions.

Image courtesy of goldprice.org

Critical to note is, Gold price have been growing despite the rise and falls.

Gold Price Performance in 20 years.. interested to see the next week Performance following Iran-Israel frictions. Image courtesy of goldprice.org Critical to note is, Gold price have been growing despite the rise and falls.
account_circle
H Simba - MCIPS(@simbahd) 's Twitter Profile Photo

Addressing Artisanal Skills Gaps in Tanzania.

Congratulations Veronica Mbazingwa for the good work you are doing. The visit by the Honorable Minister Dan Jørgensen is a milestone to your efforts.

linkedin.com/posts/veronica…

account_circle