Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profileg
Sonnino⚡

@sonnino123

Lawyer || Digital ||

ID:1188514214031347713

calendar_today27-10-2019 17:54:21

251,2K Tweets

123,2K Followers

1,1K Following

KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Utajiri Wa Kwanza Ni Kuwa Na MUNGU,
Utajiri Wa Pili Ni Kuwa Na Afya ,
Utajiri Wa Tatu Ni Kuwa Na Watu sahihi,
Utajiri Wa Mwisho Ni Kuwa Na Mali ,

Good Morning My Twitter friends..🙏

account_circle
Captαιn Mƙυυ🎖️(@CaptainGerry_) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na ubize wako usisahau kutenga muda wako wa kushiriki matukio ya kijamii kama sherehe na Misiba.

Good morning family.

account_circle
Malkia Nyuki 👑🇹🇿(@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning!

Kama mahusiano yenu wewe ndio umeyashikilia mpenzi wako hajali wala hana muda utakaloamua ni sawa tu abort the mission mapema

account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Kujengwa na kukarabati miundombinu ya umwagiliaji kutaongeza eneo la umwagiliaji kutoka hekta 727,280.6 kwa mwaka 2020/2021 hadi hekta 983,466.06 ambazo ni sawa na asilimia 81.95 ya lengo la hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 ~ Waziri wa Kilimo Mh Hussein M Bashe

Kujengwa na kukarabati miundombinu ya umwagiliaji kutaongeza eneo la umwagiliaji kutoka hekta 727,280.6 kwa mwaka 2020/2021 hadi hekta 983,466.06 ambazo ni sawa na asilimia 81.95 ya lengo la hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 ~ Waziri wa Kilimo Mh @HusseinBashe #BajetiKilimo
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

: Tanzania ni mzalishaji wa pili wa tumbaku Afrika kutoka katika kundi linaloitwa 'Others' ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka tani 70,699 mwaka 2021/2022 na sasa uzalishaji ni tani 125,592 na mwaka ujao tunatarajia kufika tani 200,000. ~ Waziri Mhe Hussein M Bashe

#BajetiKilimo: Tanzania ni mzalishaji wa pili wa tumbaku Afrika kutoka katika kundi linaloitwa 'Others' ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka tani 70,699 mwaka 2021/2022 na sasa uzalishaji ni tani 125,592 na mwaka ujao tunatarajia kufika tani 200,000. ~ Waziri Mhe @HusseinBashe
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

'Maeneo Mengine muhimu yatakayotekelezwa na Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Bajeti 2024/2025 ni pamoja kutunga sheria ya kilimo na kufanya marekebisho ya sheria ya Sukari Na.6 ya mwaka 2001 kwenye sheria ya Fedha ya mwaka 2024'~| Hussein M Bashe

'Maeneo Mengine muhimu yatakayotekelezwa na Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Bajeti 2024/2025 ni pamoja kutunga sheria ya kilimo na kufanya marekebisho ya sheria ya Sukari Na.6 ya mwaka 2001 kwenye sheria ya Fedha ya mwaka 2024'~| @HusseinBashe #BajetiYaWakulima
account_circle